Mafumbo ya Nape Nnauye Twitter hayaonekani Tena, sababu Nini?

tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Messages
26,539
Points
2,000

tindo

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2011
26,539 2,000
Toka aombe na kupewa msamaha sijaona Tena ujumbe wowote kutoka kwa Nape Nnauye hukoTwitter wenye mafumbo kutoka kwa huyu mwanasiasa, tatizo ni nini, au hiyo likuwepo kwenye kitita Cha msamaha?
Leo kaweka nyingine, kuwa wangalau mpira ndio unatafanya tuwe pamoja mbali ya itikadi zetu kwa sasa.
 
leveroi

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2016
Messages
372
Points
500

leveroi

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2016
372 500
Huu ni mwaka wa kufanyika ulaji mkuu.. .anajua akileta maneno kidogo tu baba mwenye mji ataagiza jumuia yake isimteuwe kugombea ulaji mkuu, na hapatakuwepo wa kujaribu kuyapinga hayo maagizo ndani ya jumuia ambayo nasikia inaitwa "Chukua Cha Mabavu"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
44,602
Points
2,000

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
44,602 2,000
Toka aombe na kupewa msamaha sijaona Tena ujumbe wowote kutoka kwa Nape Nnauye hukoTwitter wenye mafumbo kutoka kwa huyu mwanasiasa, tatizo ni nini, au hiyo likuwepo kwenye kitita Cha msamaha?
Wakishamkata kwenye kura za maoni ataendelea na vijembe kama kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sammosses

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2011
Messages
1,476
Points
2,000

sammosses

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2011
1,476 2,000
Toka aombe na kupewa msamaha sijaona Tena ujumbe wowote kutoka kwa Nape Nnauye hukoTwitter wenye mafumbo kutoka kwa huyu mwanasiasa, tatizo ni nini, au hiyo likuwepo kwenye kitita Cha msamaha?
Maana ya kuomba msamaha ni kukiri makosa uliyo yafanya, Nape hakuwa akiandika kutetea wananchi wake, alitupa jiwe kizani likagonga mti na kumrudia, kurudia kuandika mafumbo kwa njia ya kukosoa ni kurudia kosa naye anaishi katika falsafa ya kiswahili "kosa si kosa bali kurudia kosa ndiyo kosa " lakini nikumbushe pia kuwa tupo Kwenye political forgiveness system ili kulinda kitumbua kisitiwe mchanga ukizingatia chujio la anayepitisha majina amelishika kosolewaji
 
Mnyanyembe wa Mboka

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2017
Messages
1,171
Points
2,000

Mnyanyembe wa Mboka

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2017
1,171 2,000
Toka aombe na kupewa msamaha sijaona Tena ujumbe wowote kutoka kwa Nape Nnauye hukoTwitter wenye mafumbo kutoka kwa huyu mwanasiasa, tatizo ni nini, au hiyo likuwepo kwenye kitita Cha msamaha?
Eti kitita cha msamaha ha ha ha haaaa

Of coz itakua hivyo ndivyo ilivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesaboso

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2019
Messages
298
Points
500

Kesaboso

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2019
298 500
Toka aombe na kupewa msamaha sijaona Tena ujumbe wowote kutoka kwa Nape Nnauye hukoTwitter wenye mafumbo kutoka kwa huyu mwanasiasa, tatizo ni nini, au hiyo likuwepo kwenye kitita Cha msamaha?
Lazima abadilike, mafumbo ya kwenye kanga sio poa kwa mwanaume, akiri imerudi baada ya kudukuliwa.
 
Forum statistics

Threads 1,390,469
Members 528,182
Posts 34,052,000
Top