and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,194
- 39,646
Tunatekeleza ilaniKwa CCM ndo wanao jielewa?. To hell no!, Wako vile kwakuwa wana dola, wanacho fanya chaweza kufanywa na kundi lolote au mtu yeyote mwenye mamlaka ya dola.

Yawezekana hiki ndo kipindi mlicho enda kinyume na ilani yenu kuliko kipindi chochote. Kwenye ilani mkasema mtasomesha watakao pata ujauzito wakiwa shule,.....mkasema kipaumbele ni umeme wa gesi,......Tunatekeleza ilani
Baada ya kuona mfumo wa vyama vingi unanyima uhuru wa wenye dola kujiamuria mambo watakavyo wenyewe, tumebuni mkakati unao kuhakikisha kuwa ifikapo mwishoni mwa 2020 Tanzania haitakuwa na vyama vya upinzani vyenye nguvu.
Kwamba wakati huo majukwaa yote kipindi cha uchaguzi yataimba sifa njema kuelezea mambo makubwa na ya kushangaza yaliyofanywa na watawala.
Hakutakiwa na wenye nguvu ya kuonyesha upande wa pili wa shilingi kitu ambacho miaka yote tangu kuanza kwa harakati za vyama vingi kimekuwa kikitumika kama dira ya chama tawala pale kinapoingia madarakani.
Sasa ingawa jambo hili laweza kuonekana ni jema machoni pa wanaoendesha pokea pokea, lakini kimsingi maneno ya Trump yanapata maana kubwa.
Rais huyu mbabe na mzalendo wa kweli kwa taifa lake anajipambanua kama NABII wa kisiasa wa kizazi chetu, hasa pale anapoongelea nchi zinazoongozwa na watu weusi.
Hili laweza kuwa ni kosa ambalo tutakuja kulijutia siku zijazo. Kwa nini nasema hivi?
Upinzani wa kweli hujengwa kwa wananchi, SIO WANASIASA. Wanasiasa ni kama wachezaji wa Simba na Yanga ambao hufanya majukumu yao kwa kutarajia ujira.
Sasa pale maslahi ya mwajiri yanapokuwa madogo kulinganisha na mwajiri mwingine, ndipo huamua kuhamia upande wa pili na kumtosa mwajiri wa kwanza.
LAKINI NI WAPENZI NA WANACHAMA WANGAPI AMBAO HUHAMA PAMOJA NA MCHEZAJI? Ndivyo ilivyo kwa wanasiasa. Jana alikiwa CCM, leo anahamia CHADEMA.
Jana alikuwa CUF leo anahamia ACT Wazalendo. Lakini wanachama walio wengi, japo wanapatwa na majonzi mioyo yao itabaki kuwa huko huko walikolelewa.
Ni wanasiasa wachache sana ambao waliweza kuhama na mashabiki wao kwenda chama kingine, mfano mh. Lowassa alipohamia CHADEMA.
Lakini nini kilitokea aliporudi alikotoka? Watu walishabaini siasa chafu zinazoendelea, hivyo hawakuwa na shamrashamra na bashasha kama ilivyokiwa hapo awali.
Ndivyo ilivyokiwa kwa Mh. Sumaye wakati akihamia upinzani, lakini haikuwa habari alipoamua kurejea alikokulia. Watanzania hawakutaka kushiriki dhambi ya ujinga wa kuwa shabiki wa mtu, wawe wanavutwa na upepoa huku na kule.
Hayo yote ni dalili kwamba watu wameanza kuamka kwenye mambo ya kisiasa na hawana muda tena wa kusimamia siasa chafu.
Kama huelewi nasema nini angalau tazama jinsi zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa lilivyofanyika. Siku ya uchaguzi haikuwa na tofauti na siki nyingizo kwa sababu watu hawakujishughulisha na zoezi hilo.
Walipima kwa vichwa vyao wakaona ya kuwa kinachoendelea ni ubatili.
Sasa baada ya zoezi la kuua upinzani kama ilivyoahidiwa kukamilika, kitakachokuwa kimekufa si upinzani bali ni wanasiasa wa upinzani.
Nazungumzia wale watu wanaosimama mbele ya jamii kama viongozi wao, wasemaji wao, watu wanaowaleta pamoja. Upinzani halisi utaendelea kuwepo, tena zoezi hili litauimarisha zaidi mioyoni mwa watu.
Ni ajabu kuwa hata wale waliokuwa wakijinasibisha kama sehwmu ya chama tawala wanahoji kinachoendelea. Maana yake wanaonyesha kutoridhishwa na yanayotukia, kitu ambacho kinawafanya wa-sympasize na upinzani, waanze pia kujifananisha nao.
Kwa sababu kazi ya viongozi wa wapinzani, mfano wabunge ni kuwasemea wenye mawazo mbadala, kuikosoa serikali, kuonyesha mapungufu na maeneo yaliyosahahulika n.k. wakiondolewa ama kunyimwa nguvu, wananchi waliowakilishwa na hawa watakosa jukwaa la kusemea madukuduku yao.
Watajikuta wakijaza chuki mioyoni mwao pasipo nafasi ya kupumua. Tusijidanganye, pale wabunge wa upinzani walipojenga hoja zao bungeni ziliweza kuwafurahisha wenye mtazamo huo na hivyo kuwatuliza mioyo, hata kama hazikufanyiwa kazi.
Ni jambo la kawaida kwa mwanadamu kutafuta sehemu ya kusemea kero zake ili apate pumziko la nafsi. Sasa mzazi akimnyima uhuru wa kujieleza ama kutoa kero zake, kifuatacho ni ama kujinyonga, ama kuasi mamlaka yake.
Hii ndio aina ya siasa tunayoitengeneza. Tuwe wakweli tu, wakati wa Mwalimu Nyerere watu walikuwa hawajaelimika kiasi cha kupima mambo, lakini nyakati hizi mambo ni tofauti.
Huwezi kuwanyamazisha watu kwa kuwaondolea platform ya kutolea dukuduku zao. Ni heri kuwapa uhuru wa kusema wakatuliza nafsi kuliko kuchukizwa na maneno yao na hivyo kuwataka wafunge midomo na kukaa kimya!
Ni mtazamo tu.
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Majaribio ya kuipindua serikari kabla ya mfumo wa vyama vingi yalikuwa mengi.Sijui tunaelekea wapiBaada ya kuona mfumo wa vyama vingi unanyima uhuru wa wenye dola kujiamuria mambo watakavyo wenyewe, tumebuni mkakati unao kuhakikisha kuwa ifikapo mwishoni mwa 2020 Tanzania haitakuwa na vyama vya upinzani vyenye nguvu.

Yaani sukuma mleviYaani kama watu wataamua kusema amini nakwambia utawala huu ndio unaopigika mawe kiwepesi mno, Jiwe anapigika mapema sema ameshaonyesha ukatili uliopitiliza ndio maana watu wanavuta pumzi kusubiri kipyenga ukisema sasa watu wake watakuumiza bure.
Hivi hiyo dreamliner imenunuliwa na chama au ni serikali kwa fedha ya kodi za wananchi wote?Hicho hicho kinachokununulia Dreamliner 787
Iliandikwa mwezi Februari, uchambuzi kuelekea uchaguzi mkuuBaada ya kuona mfumo wa vyama vingi unanyima uhuru wa wenye dola kujiamria mambo watakavyo wenyewe, tumebuni mkakati unao kuhakikisha kuwa ifikapo mwishoni mwa 2020 Tanzania haitakuwa na vyama vya upinzani vyenye nguvu.
Kwamba wakati huo majukwaa yote kipindi cha uchaguzi yataimba sifa njema kuelezea mambo makubwa na ya kushangaza yaliyofanywa na watawala.
Hakutakuwa na wenye nguvu ya kuonyesha upande wa pili wa shilingi kitu ambacho miaka yote tangu kuanza kwa harakati za vyama vingi kimekuwa kikitumika kama dira ya chama tawala pale kinapoingia madarakani.
Sasa ingawa jambo hili laweza kuonekana ni jema machoni pa wanaoendesha pokea pokea, lakini kimsingi maneno ya Trump yanapata maana kubwa.
Rais huyu mbabe na mzalendo wa kweli kwa taifa lake anajipambanua kama NABII wa kisiasa wa kizazi chetu, hasa pale anapoongelea nchi zinazoongozwa na watu weusi.
Hili laweza kuwa ni kosa ambalo tutakuja kulijutia siku zijazo. Kwa nini nasema hivi?
Upinzani wa kweli hujengwa kwa wananchi, SIO WANASIASA. Wanasiasa ni kama wachezaji wa Simba na Yanga ambao hufanya majukumu yao kwa kutarajia ujira.
Sasa pale maslahi ya mwajiri yanapokuwa madogo kulinganisha na mwajiri mwingine, ndipo huamua kuhamia upande wa pili na kumtosa mwajiri wa kwanza.
LAKINI NI WAPENZI NA WANACHAMA WANGAPI AMBAO HUHAMA PAMOJA NA MCHEZAJI? Ndivyo ilivyo kwa wanasiasa. Jana alikuwa CCM, leo anahamia CHADEMA.
Jana alikuwa CUF leo anahamia ACT Wazalendo. Lakini wanachama walio wengi, japo wanapatwa na majonzi mioyo yao itabaki kuwa huko huko walikolelewa.
Ni wanasiasa wachache sana ambao waliweza kuhama na mashabiki wao kwenda chama kingine, mfano mh. Lowassa alipohamia CHADEMA.
Lakini nini kilitokea aliporudi alikotoka? Watu walishabaini siasa chafu zinazoendelea, hivyo hawakuwa na shamrashamra na bashasha kama ilivyokuwa hapo awali.
Ndivyo ilivyokiwa kwa Mh. Sumaye wakati akihamia upinzani, lakini haikuwa habari alipoamua kurejea alikokulia. Watanzania hawakutaka kushiriki dhambi ya ujinga wa kuwa shabiki wa mtu, wawe wanavutwa na upepo huku na kule.
Hayo yote ni dalili kwamba watu wameanza kuamka kwenye mambo ya kisiasa na hawana muda tena wa kusimamia siasa chafu.
Kama huelewi nasema nini angalau tazama jinsi zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa lilivyofanyika. Siku ya uchaguzi haikuwa na tofauti na siku nyinginezo kwa sababu watu hawakujishughulisha na zoezi hilo.
Walipima kwa vichwa vyao wakaona ya kuwa kinachoendelea ni ubatili.
Sasa baada ya zoezi la kuua upinzani kama ilivyoahidiwa kukamilika, kitakachokuwa kimekufa si upinzani bali ni wanasiasa wa upinzani.
Nazungumzia wale watu wanaosimama mbele ya jamii kama viongozi wao, wasemaji wao, watu wanaowaleta pamoja. Upinzani halisi utaendelea kuwepo, tena zoezi hili litauimarisha zaidi mioyoni mwa watu.
Ni ajabu kuwa hata wale waliokuwa wakijinasibisha kama sehemu ya chama tawala wanahoji kinachoendelea. Maana yake wanaonyesha kutoridhishwa na yanayotukia, kitu ambacho kinawafanya wa-sympasize na upinzani, waanze pia kujifananisha nao.
Kwa sababu kazi ya viongozi wa upinzani, mfano wabunge ni kuwasemea wenye mawazo mbadala, kuikosoa serikali, kuonyesha mapungufu na maeneo yaliyosahahulika n.k. wakiondolewa ama kunyimwa nguvu, wananchi waliowakilishwa na hawa watakosa jukwaa la kusemea madukuduku yao.
Watajikuta wakijaza chuki mioyoni mwao pasipo nafasi ya kupumua. Tusijidanganye, pale wabunge wa upinzani walipojenga hoja zao bungeni ziliweza kuwafurahisha wenye mtazamo huo na hivyo kuwatuliza mioyo, hata kama hazikufanyiwa kazi.
Ni jambo la kawaida kwa mwanadamu kutafuta sehemu ya kusemea kero zake ili apate pumziko la nafsi. Sasa mzazi akimnyima mwanae uhuru wa kujieleza ama kutoa kero zake, kifuatacho ni ama kujinyonga, ama kuasi mamlaka yake.
Hii ndio aina ya siasa tunayoitengeneza. Tuwe wakweli tu, wakati wa Mwalimu Nyerere watu walikuwa hawajaelimika kiasi cha kupima mambo, lakini nyakati hizi mambo ni tofauti.
Huwezi kuwanyamazisha watu kwa kuwaondolea platform ya kutolea dukuduku zao. Ni heri kuwapa uhuru wa kusema wakatuliza nafsi kuliko kuchukizwa na maneno yao na hivyo kuwataka wafunge midomo na kukaa kimya!
Ni mtazamo tu.
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Bahati mbaya upinzani imara haupo tz labda tuanze upya. CHADEMA ilitegemewa iwe chama pinzani imara lakini wamepoteza fursa. Hivyo vingine vidogovidogo vimekaa kama vicoba.Bila upinzani imara ccm hawawezi kujitambua. Wanapambana kufanya yote wanayo jaribu wakijua mguu kwa mguu, neno kwa neno 24/7; Wapo nyuma yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila upinzani imara ccm hawawezi kujitambua. Wanapambana kufanya yote wanayo jaribu wakijua mguu kwa mguu, neno kwa neno 24/7; Wapo nyuma yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani upinzani wa kweli kabisa toka moyoni upo tayari hapa Tanzania. Kinachokosekana kwa sasa ni ujasiri kwa sababu ya kitawaliwa na hofu. Watanzania wa leo bado wanaongozwa na hofu ya kufikirika ndio maana hawajawa tayari kuwekeza kwa ajili ya kesho. Ni kundi linaloishi kwa kutazama Leo tu. Udhaifu huu ndio kete pekee iliyosalia kwa watawala. Lakini ukweli ni kuwa siku zinakuna nazo haziko mbali utafika wakati watu wataamua kwamba hakuna tofauti kati ya kufa na kuishi kama hakuna uhuru binafsi. Tofauti kati ya maiti na mtumwa asiye huru ni kuwa mmoja akili zake zimelala fofofo, lakini mwingine HUJIDHANI kuwa anaishi kwa akili zake wakati ukweli ni kuwa ameshakufa siku nyingi bali mwili wake unaongozwa kwa akili za watawala. Hana jambo analoweza kuamua kwa kutumia akili yake bali amekuwa kama kompyuta ambayo hutekeleza kile inachoamriwa.Bahati mbaya upinzani imara haupo tz labda tuanze upya. CHADEMA ilitegemewa iwe chama pinzani imara lakini wamepoteza fursa. Hivyo vingine vidogovidogo vimekaa kama vicoba.
Safety valve!Baada ya kuona mfumo wa vyama vingi unanyima uhuru wa wenye dola kujiamria mambo watakavyo wenyewe, tumebuni mkakati unao kuhakikisha kuwa ifikapo mwishoni mwa 2020 Tanzania haitakuwa na vyama vya upinzani vyenye nguvu.
Kwamba wakati huo majukwaa yote kipindi cha uchaguzi yataimba sifa njema kuelezea mambo makubwa na ya kushangaza yaliyofanywa na watawala.
Hakutakuwa na wenye nguvu ya kuonyesha upande wa pili wa shilingi kitu ambacho miaka yote tangu kuanza kwa harakati za vyama vingi kimekuwa kikitumika kama dira ya chama tawala pale kinapoingia madarakani.
Sasa ingawa jambo hili laweza kuonekana ni jema machoni pa wanaoendesha pokea pokea, lakini kimsingi maneno ya Trump yanapata maana kubwa.
Rais huyu mbabe na mzalendo wa kweli kwa taifa lake anajipambanua kama NABII wa kisiasa wa kizazi chetu, hasa pale anapoongelea nchi zinazoongozwa na watu weusi.
Hili laweza kuwa ni kosa ambalo tutakuja kulijutia siku zijazo. Kwa nini nasema hivi?
Upinzani wa kweli hujengwa kwa wananchi, SIO WANASIASA. Wanasiasa ni kama wachezaji wa Simba na Yanga ambao hufanya majukumu yao kwa kutarajia ujira.
Sasa pale maslahi ya mwajiri yanapokuwa madogo kulinganisha na mwajiri mwingine, ndipo huamua kuhamia upande wa pili na kumtosa mwajiri wa kwanza.
LAKINI NI WAPENZI NA WANACHAMA WANGAPI AMBAO HUHAMA PAMOJA NA MCHEZAJI? Ndivyo ilivyo kwa wanasiasa. Jana alikuwa CCM, leo anahamia CHADEMA.
Jana alikuwa CUF leo anahamia ACT Wazalendo. Lakini wanachama walio wengi, japo wanapatwa na majonzi mioyo yao itabaki kuwa huko huko walikolelewa.
Ni wanasiasa wachache sana ambao waliweza kuhama na mashabiki wao kwenda chama kingine, mfano mh. Lowassa alipohamia CHADEMA.
Lakini nini kilitokea aliporudi alikotoka? Watu walishabaini siasa chafu zinazoendelea, hivyo hawakuwa na shamrashamra na bashasha kama ilivyokuwa hapo awali.
Ndivyo ilivyokiwa kwa Mh. Sumaye wakati akihamia upinzani, lakini haikuwa habari alipoamua kurejea alikokulia. Watanzania hawakutaka kushiriki dhambi ya ujinga wa kuwa shabiki wa mtu, wawe wanavutwa na upepo huku na kule.
Hayo yote ni dalili kwamba watu wameanza kuamka kwenye mambo ya kisiasa na hawana muda tena wa kusimamia siasa chafu.
Kama huelewi nasema nini angalau tazama jinsi zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa lilivyofanyika. Siku ya uchaguzi haikuwa na tofauti na siku nyinginezo kwa sababu watu hawakujishughulisha na zoezi hilo.
Walipima kwa vichwa vyao wakaona ya kuwa kinachoendelea ni ubatili.
Sasa baada ya zoezi la kuua upinzani kama ilivyoahidiwa kukamilika, kitakachokuwa kimekufa si upinzani bali ni wanasiasa wa upinzani.
Nazungumzia wale watu wanaosimama mbele ya jamii kama viongozi wao, wasemaji wao, watu wanaowaleta pamoja. Upinzani halisi utaendelea kuwepo, tena zoezi hili litauimarisha zaidi mioyoni mwa watu.
Ni ajabu kuwa hata wale waliokuwa wakijinasibisha kama sehemu ya chama tawala wanahoji kinachoendelea. Maana yake wanaonyesha kutoridhishwa na yanayotukia, kitu ambacho kinawafanya wa-sympasize na upinzani, waanze pia kujifananisha nao.
Kwa sababu kazi ya viongozi wa upinzani, mfano wabunge ni kuwasemea wenye mawazo mbadala, kuikosoa serikali, kuonyesha mapungufu na maeneo yaliyosahahulika n.k. wakiondolewa ama kunyimwa nguvu, wananchi waliowakilishwa na hawa watakosa jukwaa la kusemea madukuduku yao.
Watajikuta wakijaza chuki mioyoni mwao pasipo nafasi ya kupumua. Tusijidanganye, pale wabunge wa upinzani walipojenga hoja zao bungeni ziliweza kuwafurahisha wenye mtazamo huo na hivyo kuwatuliza mioyo, hata kama hazikufanyiwa kazi.
Ni jambo la kawaida kwa mwanadamu kutafuta sehemu ya kusemea kero zake ili apate pumziko la nafsi. Sasa mzazi akimnyima mwanae uhuru wa kujieleza ama kutoa kero zake, kifuatacho ni ama kujinyonga, ama kuasi mamlaka yake.
Hii ndio aina ya siasa tunayoitengeneza. Tuwe wakweli tu, wakati wa Mwalimu Nyerere watu walikuwa hawajaelimika kiasi cha kupima mambo, lakini nyakati hizi mambo ni tofauti.
Huwezi kuwanyamazisha watu kwa kuwaondolea platform ya kutolea dukuduku zao. Ni heri kuwapa uhuru wa kusema wakatuliza nafsi kuliko kuchukizwa na maneno yao na hivyo kuwataka wafunge midomo na kukaa kimya!
Ni mtazamo tu.
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Mkuu, uliona mbali sana. Uliandika uzi huu mwezi February, lkn karibu yote uliyonena ndo yametokea.Huwezi kuwanyamazisha watu kwa kuwaondolea platform ya kutolea dukuduku zao. Ni heri kuwapa uhuru wa kusema wakatuliza nafsi kuliko kuchukizwa na maneno yao na hivyo kuwataka wafunge midomo na kukaa kimya!