Recent content by lete rimoti

  1. L

    JamiiForums Tanzania Usaili TPA

    Asante sana
  2. L

    JamiiForums Tanzania Usaili TPA

    Sawa👍
  3. L

    JamiiForums Tanzania Usaili TPA

    Wakuu Tafadhalini Kuna Yeyote anaejua ni lini Usaili Utafanyika wa Zile nafasi zilizotangazwa kule ajira portal mwishoni mwa mwezi wa sita ? Nina wasiwasi labda inaweza Kuwa mwakani Ili watakaoajiriwa waanze katika mwaka mpya wa Fedha. Yaani July 2026 ? Anaejua Atutoe hofu Please?
  4. L

    JamiiForums Tanzania KERO Tufanyeje kupata haki yetu kutoka NSSF?

    Sheria mpya za Nssf zinawakataza kukulipa pesa Yako kama hujafikisha umri wa kustaafu. Ni maelekezo Yao wao wenyewe kwenda kwa kampuni. Me Nina jamaa zangu kampuni imechangia fresh TU na mzigo wote upo Nssf LAKINI Nssf wakagoma
  5. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga mara nyingi hutumiwa na wanasiasa kuzima/kufifisha hoja/mijadala mbali mbali inayojitokeza nchini

    Leo watakuja na mada ya Tunacheza.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Kituo Cha Usaili Cha (Ajira portal)Kwa Dsm

    Written ya TAA mkuu
  7. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Kituo Cha Usaili Cha (Ajira portal)Kwa Dsm

    Wakuu naomba mnijuze Hawa PSRS kituo Chao Cha Usaili Kwa Daresalaam ni kipi ? Kipo wapi ?
  8. L

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za muda bandarini

    Brother hii nchi Ina vijana ni was€ng€ Sana na Waoga. Hili Tangazo niliposikia nilipenda Moja Kwa Moja Hadi pale bandari na nikaliona lipo kama lilivyo. Utashangaa Kuna Kichaa mmoja anatishia Watu eti watatapeliwa. Na niwaambie Tu uog awenu umeshawakosesha Kazi. Watu waliotuma mwanzo wengi...
  9. L

    JamiiForums Tanzania CIA yatoa fursa ya scholarship, TISS kimya..

    Binafsi sifurahii. Namna Ambavyo hii Taasisi inaongozwa. Ningepata namna ya Kuwa Rais ningeunda Taasisi nyingine. Ningeipa mission za kupigania nchi katika masuala ya Kiuchumi, Kijamii na Utawala Bora. ✓Ningenyonga wezi na mafisadi. ✓Ningeondoa Watu wavivu na wasiotaka Kutimiza majukumu Yao. ✓...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Uzi wa Vijana wa CCM tu

    Kuna mgao Gani Mkuu??
  11. L

    JamiiForums Tanzania Uzi wa Vijana wa CCM tu

    Mkuu umeuliza Maswali Mazuri kweli. Ndani ya CCM Tupo Watu tunatamani Kuona nchi inasonga mbele lakini nikifikiria namna Ambavyo Watu wanaweza kukufanya nabaki na maumivu sana
  12. L

    JamiiForums Tanzania Nawezaje Kupata Ufadhili wa Masomo ya Chuo?

    Ahsante Mkuu. Naamini katika makanisa wapo Watu wengi wenye Upendo
  13. L

    JamiiForums Tanzania Nawezaje Kupata Ufadhili wa Masomo ya Chuo?

    Ahsante Mkuu
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kwako Rais Samia, sisi Askari tunaomba utuongezee maslahi

    Hongera Afande. umeongea Kwa Hisia na Nina Imani. Kwa Upendo wa mama Samia. Atasikia ulichoomba. Mkiongezewa mtukumbuke na sisi tuliopenda Kuwa Askari lakini tunazeekea Tu uraiani.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Nawezaje Kupata Ufadhili wa Masomo ya Chuo?

    Wakuu Nilisikia Kuna Channel na Procedure za kufuata kama Mtu Huna Pesa ya Ada na Serikali Inaweza Kukusomesha. Ila Sasa Sijapata Kujua Exactly Ninawezaje Kupata Nafasi hii. Hasa katika ngazi ya Diploma au Certificate?
Back
Top Bottom