CIA yatoa fursa ya scholarship, TISS kimya..

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
73,316
Reaction score
103,577
Je kwanini taasisi zetu zisiwe wazi kama hawa?
IMG_20230517_202902.jpg
 
Hao wanaosomeshwa na CIA umezeshwa sumu kali Sana na baadae ugeuka kua mapandikizi ya USA kwenye nchi zao na kuharibu kabisa maisha ya ndugu zao kwa maslahi ya USA Kama ilivyokua kua kwa RAISI ZELENSKY wa ukraine enzi hizo kabla hajawa raisi.

Hata Wewe mtanzania Unaweza kupata hizo scolarship ili uweze kutumika baadae wakikuhitaji kwny mishen zao uku tz
JamiiForums-1987120507.jpg
 
Binafsi sifurahii. Namna Ambavyo hii Taasisi inaongozwa. Ningepata namna ya Kuwa Rais ningeunda Taasisi nyingine. Ningeipa mission za kupigania nchi katika masuala ya Kiuchumi, Kijamii na Utawala Bora.
✓Ningenyonga wezi na mafisadi.
✓Ningeondoa Watu wavivu na wasiotaka Kutimiza majukumu Yao.
✓ Ningehakikisha Askari wa hii nchi anapata thamani kubwa Sana Kutoka Kwa Viongozi wakisiasa.
✓ Ningewafundisha hao Askari namna ya Kulinda Katiba. Sio wanajifanya walinzi wa Katiba alafu wanakuwa Waoga kama hawana mapumbu.
 
Kuna mwamba mmoja (jina limenitoka aliwahi kua kiongozi wa maandamano Georgia ya kumpindua raise aliyekua madarakani akiefungamana na RUSSIA

Baada ya rais yule kupinduliwa, jamaa akapewa uwaziri mkuu wa Georgia. Walipokosana na raisi aliyekuepo madarakani,jamaa akakimbilia USA.

Jamaa yule yule Alikuja kuonekana Tena akiongoza maandamano ya kumpindua raisi wa Ukraine mwaka 2014 aliefungamana na urusi.

Kisha baada ya raisi yule kupinduliwa akaja kupewa umeya kule donbass kwenye serikali ya Zelensky.

Hii Vita ya Ukraine ilipolindima Feb mwaka Jana, jamaa uyoo kakimbilia zake USA kupoa na familia yake Hadi leo Hii. Kuna kpind flani Zelensky aliwahi tuhumu Kuna meya atashtakiwa kwa uhaini kwa kukimbia nchi ikiwa vitani.

Anaemkumbuka jina awake Hapa,
Tulijadili kwa mapana Yake zaidi wakuu[emoji4]
 
Uongo

Ni wakati sasa mashirika yetu yawe wazi ili yapate watu wazuri
Yakiwa wazi,viongozi wenu akashindwa kupenyeza vimemo, hizo nafas ziende Kwny familia zao.

Hivi Mara ya mwisho kuskia tangazo la kazi za ikulu,bunge au bot Ni lini mkuu[emoji4]
 
Yaani nchi hii ni kero
 
Back
Top Bottom