Recent content by Lerionka ole saidimu

  1. L

    JamiiForums Tanzania Wale tuliosima shule hizi njooni tujuane

    Lile la shighatini walilidumbukiza mtoni
  2. L

    JamiiForums Tanzania Vijana jiepusheni na mambo haya, huweza pelekea ukajutia maishani mwako milele

    Sawa mkuu ngoja nipunguze starehe nibaki na manzi moja nioe
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mchikichini: Mtaa wa mateja uliotoa vipanga wengi kielimu Dar na mikoani

    Mi advance nilisoma vitini vya mtegetwa tu
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mwezi juni 2020

    Bado
  5. L

    JamiiForums Tanzania Sub Woofer nzuri ni ipi?

    Trust no one bora uende tu dukani
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kama hujasoma vitabu hivi basi wewe umekosa utamu wa kusoma vitabu

    Kati ya kazi ambayo hainiingizii hata kumi kwenye maisha yangu ni kusoma hayo mavitabu bora niwaze ntapataje hela kuliko kusoma mawazo ya watu tena yasiyokuwa na mchango wowote kwenye mazingira ninayoishi ni nimeshindwa kwakweli
  7. L

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio sababu za Vanessa Mdee kuacha rasmi muziki

    Sidhani kama yupo sahihi
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kama na wewe hujui kabila lako, pitia hapa

    Mi watu hudhani kuwa ni mchaga sijui huku umasaini nimetokea wapi huwa nashindwa kabisa kuujua ukweli kuhusu chimbuko langu
  9. L

    JamiiForums Tanzania Fahamu ni kwanini watu hawaogopi athari za uvutaji wa sigara

    Hata dhambi tunazofanya zinafaida kwa wengine Wazinzi wanachangia pato la taifa kwenye guest house na kununua condom Wavutaji sigara wanaongeza pato la taifa pia wanasaidia biashara ya madawa wakiugua Yaani kuna mambo huwezi kuyazuia yasifanyike kwenye maisha ya binadamu hata kama yana madhara...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Baraka da Prince kipaji kinachoangushwa na kiburi

    Mi naskilizaga tu mziki
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kwenu waheshimiwa Patrobas Katambi(DC Dodoma) na Godwin Kunambi(mkurugenzi jiji Dodoma)

    Sikuhizi hadi mashoga nao wameoa kweli wanawake wana huruma
  12. L

    JamiiForums Tanzania Wachagga na mila za kufukua maiti

    Ila wachaga wamezidi
Back
Top Bottom