Recent content by leri2k

  1. leri2k

    Zanzibar: CUF hawaepukiki

    Ikitokea hivyo, nafasi ya makamu wa kwanza wa rais kitapewa chama kingine cha upinzani cha pili kwa idadi ya wingi wa wawakilishi.
  2. leri2k

    Uchaguzi Zanzibar: Dr. Ali Mohammed Shein atangazwa Rais wa Zanzibar

    Makamu kwa kura ambazo hata 10k hazijafika, shame.
  3. leri2k

    Kati ya Clouds FM na E FM nani wanatangaza vizuri kipindi cha michezo?

    Ndugu na hakika huko ulipo eFm haisikiki, kuwa mpole.
  4. leri2k

    Hivi Moses Ndamalya Na Gadner Habash Nani Zaidi Kiutangazaji?

    Acha kumfananisha Garder the Captaiiiiin na Ndamalya,. . Unapoteza muda wako. Kwanza huyo Ndamallya ndio nani vileee
  5. leri2k

    Ipi Flat TV bora: Kati ya Samsung LED na Samsung Plasma?

    Plasma ni tech ya zamani ambayo ina consumption kubwa ya umeme na picha yake hupoteza muonekano ukiwa kwenye angle flani,but its cheap. LCD advance tech ya plasma with better consumption & no angle pictute distortion ila the weight of the tv is moreless the same. LED advance tech of LCD better...
  6. leri2k

    Yaani Hapa Usipocheka Kapime!

    Ipo powa sana Leri.
  7. leri2k

    Msaada ushamba wa ipad

    Unakumbuka details za itune account yake?! Kama ndivyo,. Unahitaji internet to restore your ipad to factory settings. Kuwa tayari kupoteza files na apps Leri.
Back
Top Bottom