Kati ya Clouds FM na E FM nani wanatangaza vizuri kipindi cha michezo?

namtombe

Member
Jan 8, 2016
53
14
Nimekua nikifuatia station hizi mbil E FM na Clouds katika vipindi vya Michezo.

Kunatokea ubishani mtaani ni wapi wakali wanaofunika kwa kuchambua michezo na kuhoji makocha viongozi wa timu pia wa TFF?

Wewe unaona nani zaidi?
 
shaf dauda hana jipya zaidi ku copy habari toka daily mail na kuziongea redioni... kama ni mtu wa kufuatilia habari online utaona dauda akirudia zilezile... at list basi angekuwa anaongeza yake .. yeye ana copy kama ilivyo
 
Clouds wanakipindi kimoja tu cha sports extra,nacho sioo kiivooo!!!vilivyobaki ni Utumbo tu!!!
 
Back
Top Bottom