Hivi Moses Ndamalya Na Gadner Habash Nani Zaidi Kiutangazaji?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,214
Hawa WATANGAZAJI WAWILI Nani Kati Yao Unadhani ANA UWEZO MKUBWA WA KUTANGAZA Na KUWA NA MVUTO MKUBWA KWA WASIKILIZAJI? Na Nini au Zipi Ni Tofauti Zao KIUWEZO? Yupi Unadhani ANAKUBALIKA Na Yupi HAKUBALIKI? Atakayetajwa Hapa Sana Kuwa Ni Bora Zaidi Ya Mwenzake Ndiyo Nitampa TENDA Ya Kutengeneza TANGAZO LA BIASHARA Ambalo Nataka WATANZANIA MUANZE KULISIKILIZA Kuanzia Mwezi Ujao.

Karibuni Mtiririke Katika Kuwazungumzia Na Kunisaidia Ili Niweze Kuwajua Vizuri Na Niweze Kufanya Kazi Na Mmoja Wapo.

Akhsanteni.
 
Huyo Moses Ndamalya anatangaza Redio gani? kama unataka tangazo lako lipenye masikio ya Mtanzania vyema, mpe Gadner G. Jamaa huwa anambwembwe flani hivi kwenye matangazo hasa ya burudani.
 
Acha kumfananisha Garder the Captaiiiiin na Ndamalya,. . Unapoteza muda wako. Kwanza huyo Ndamallya ndio nani vileee
 
Hawa WATANGAZAJI WAWILI Nani Kati Yao Unadhani ANA UWEZO MKUBWA WA KUTANGAZA Na KUWA NA MVUTO MKUBWA KWA WASIKILIZAJI? Na Nini au Zipi Ni Tofauti Zao KIUWEZO? Yupi Unadhani ANAKUBALIKA Na Yupi HAKUBALIKI? Atakayetajwa Hapa Sana Kuwa Ni Bora Zaidi Ya Mwenzake Ndiyo Nitampa TENDA Ya Kutengeneza TANGAZO LA BIASHARA Ambalo Nataka WATANZANIA MUANZE KULISIKILIZA Kuanzia Mwezi Ujao.

Karibuni Mtiririke Katika Kuwazungumzia Na Kunisaidia Ili Niweze Kuwajua Vizuri Na Niweze Kufanya Kazi Na Mmoja Wapo.

Akhsanteni.

Ni joseph Ndamalya na si moses
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom