Katika Kitabu Cha Quar'ani, Mwenyezi Mungu anaposema anatumia wingi ona
Na hatukumtuma Mtume ila kwa ulimi wa kaumu yake ili apate kuwabainishia. Basi Mwenyezi Mungu humuacha akapotea amtakaye, na akamwongoa amtakaye. Naye ni Mtukufu Mwenye nguvu na Mwenye hikima 14:4.
Na tulimtuma Musa pamoja...
Mathayo: 28:18-20: Yesu akawajia na kusema, "Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani. Kwa sababu hii, enendeni ulimwenguni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa Jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu, nanyi wafundisheni kuyashika mambo yote niliyowaamuru ninyi. Hakika...
Njiwa wrote: hakuna mahala yesu alipokiri na kusema "mimi ni mungu" YESU AMETAMKA MARA NYINGI NDANI YA BIBLIA KUWA NI MUNGU (Katika ushirika na Mungu Baba) Soma Kwa mfano YOHANA 17: 1-11 Baba, saa imewadia, umtukuze Mwanao, ili Mwanao apate kukutukuza Wewe. Kwa kuwa umempa mamlaka juu ya wote...
Mradi huu ni nia njema ya watu kama akina Mwakyembe. A True son of the land.BIG UP HARRI-SON (Harison Mwakyembe) !!!!!!!!! Lakini ubinafsi wa Wabongo utauua mradi huu. Hata hao wanaoitwa private operator je wapo ambao ni credible na wanajua viwango? Mimi sidhani kama wapo. Kazi kweli kweli.
Shibe siku zote ina tabia ya kumuumiza aliyeshiba. Naona mnamshabikia Lema eti mpiganaji!!!!!!!. Hii ni kwa kuwa mmeshibaa Amani. Siku amani itakapotoweka kuirejesha haitawezekana. Sikio la kufa halisikii dawa. Nawataka tafakari kauli zenu. Mnaweza kuwa mnadai haki lakini fanyeni kwa njia au...
Hii ni nadharia mpya ambayo inahitaji kufanyiwa utafiti ili kuthibitisha tafsiri hiyo. Nahisi Sample size iliyotumika ni ndogo sana kutoa a meaningful interpretation.
Hii ni nadharia mpya ambayo inahitaji kufanyiwa utafiti ili kuthibitisha tafsiri hiyo. Nahis Sample size iliyotumika ni ndogo kutoa meaningful inteprretation.
Chunga sana. Wake za watu kaa mbali sana nao. Usiendekeze kutamani bila fikra. Jitambue na chukua hatua kurekebisha tabia hiyo. Mbona wasio na wenza wapo kibao!!! kwa nini usihangaike nao?
Bw. Kagenzi ni msimamia Haki. Baada ya Uchaguzi wa Tarime; Kagenzi alizushiwa kesi na kusimamishwa kazi. Mahakama ilimrejesha kazini. Baadaye akahamishiwa Arusha. Sasa sijui itakuwaje kwa kosa hili la kutangaza CDM washindi. Tumuombee Mungu amzidishie ujasiri.
Alama ya Nyoka ni alama inayotumika kimataifa kumaanisha masuala ya Tiba. Ndivyo ilivyo kwenye nembo ya Shirika la Afya la Umoja (WHO) na utaikuta katika vituo vya tiba duniani kote.
Alama za Freemansons zipo nyingi na Hazina nyoka!!!!!!!!!!!!!!
Ebu angalia Note hiyo ya USA na...
A Rolls Royce pulls up in front of a really expensive restaurant and a really rich sheik gets out from it followed by a harem of women, and a rooster. The "party" is escorted to a table and given a menu.
When time to order the sheik orders for himself and the harem, and also asks for a basket...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.