Recent content by LEONS JULIUS

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kozi ipi ya engineering inafaa kwa urahisi wa kujiajiri au kuajiriwa kwa mtu aliyesoma PCM?

    Piga Civil Civil engineering au water resources engineering hutojuta kamwe.
  2. L

    JamiiForums Tanzania WCB, wadau hamuwatendei haki Ben Pol, Belle 9 na wengineo

    Sema industry ya bongoflava Kiujumla bado haijakaa sawa kabisa So inabidi tuwasapoti wasanii wetu kwa nguvu zetu zote.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Serikali mulikeni utaratibu wa fedha za kujikimu vyuo vikuu

    Nazan Wahusika wamekusikia tusubili Implementation
  4. L

    JamiiForums Tanzania Haya ndio mambo ambayo mwanamke anajitolea kwaajili yetu

    Sawa Tumekuelewa.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Donald Trump apata kura nyingi Republican

    Marais Wastaafu akiwemo Bush wamemkana Donald Trump Kwa sababu sizizoeleweka ili kuiaminisha dunia kwamba Trump kumbe wana agenda zao za siri.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Trump wakabiliwa na ghasia

    Trump atashinda ila ni kwa shida sana.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mateso ya Jackline Wolper

    ndo kawaida yao hawanaga msamiati wa kutulia na mpenzi mmoja katika maisha yao.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu atia neno kuhusu BET Awards

    ndo hvyo Tanzania kwanza mambo mengne baadae kura ni kwa Diamond.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kwa nini baadhi ya maeneo hairuhusiwi kupiga picha?

    Lazima kutakuwa na sababu za Msingi hasa maeneo ya Jeshi na maeneo mengine ya vyombo vya ulinzi na Usalama hasa ni sababu za kiusalama.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Nimebaki kuwa mtazamaji katika suala la kuolewa

    Ishi maisha uyapendayo ila kumbuka na maandiko matakatifu yanasemaje kuhusu nndoa.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Nimebaki kuwa mtazamaji katika suala la kuolewa

    Haya yote ni maisha yako kama umeamua hvyo ila kumbuka na maandiko matakatifu
  12. L

    JamiiForums Tanzania Tuache tabia za kutafuta wake za watu

    Ila kiukweli ni mbaya sana kutembea na mke wa mtu jamaa atumie uungwana kumuacha free mke wa jamaa vilevile kitakwimu inaonesha wanawake nni wengi zaidi so haina maana kukomaa na mkee wa jamaa tena ni best yako dat iz so very foolish.
Back
Top Bottom