Wadau kwa masikitiko makubwa leo nimeona email za jamaa yangu wakaribu anamtongoza wife wangu, wife wangu kagoma kabisa nimeona majibu yake, jamaa bado yumo tu anaendelea....
Sasa mi natafakari, nina watoto watatu, Kama mke wangu angejubali na nikajua, hakuna majadiliano, ndo ingefikia mwisho, haya mi madhara ambayo yangetokea:
1 - Tuna watoto watatu, wangelelewa na Mazes mmoja au na Babu na BIBI.
2 - Malumbano na uadui mkubwa.
3 - Masikitiko makubwa kwa wazazi wa pande zote ndugu na marafiki.
4 - Future za watoto pengine zingekuwa na hatihati.
5 - Achievements, dreams, zote zinafikia mwisho.
Ndugu zangu hemu tutafakari mazara kabla ya kuingilia ndoa za watu. Na dada zangu nawaomba tu mvumiliana na waume Zenu msiwe wepesi kuvuruga nyumba zenu.
Ni hayo tu.
Inauma sana mtu kula utamu wako....
Big up to my wife wako
Halafu mbaya zaidi huko mtaani ni wa kumwaga tuu wako kibao, wengine mpaka wanaleta matangazo hapa JF... Bado anamendea wa kwako aisee..Kinachouma ni pale unapoingia... bwege mwingine anataka kuingia hapo hapo.
Ndio hapo sasaHalafu mbaya zaidi huko mtaani ni wa kumwaga tuu wako kibao, wengine mpaka wanaleta matangazo hapa JF... Bado anamendea wa kwako aisee..
Daah wanaume sisi bwana wacha tu wake zetu waendelee kugegedwa nje, kwa hiyo wewe unaona kaokoka??
Kwanza kitendo cha kuona jinsi majadiliano yalivyoendelea na huyo bwana mana yake huyo jamaa hakufika bei( hakuwa na vigezo) kwa nini mkeo aendelee kujadili hata kama ni ktk kukataa hakupaswa kuonekana ktk mazingira ya ku bargain.
Sasa wewe unakuja hapa unajidai tena. Unajua wangapi anawakubalia?? Ni sawa na mke au demu wako anayekusimulia idadi ya wanaume wanaomtongoza na kudai kuwa huwa anawatolea nje, what do you expect?? Kwamba aliyemkubalia atakwambia?? Thubutu!