Recent content by Leompasa

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Nashukuru Dr ngoja nifanyie kazi
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Asante Dr maeneo ya mbeya hawana tawi mana usafir dar mpaka sumbawanga mbali
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Dr nataka kuanza Kufuga Kuku was nyama naomba ushaur Kuku aina gani ni wazuri na vifaranga vyake navipata WAP mm npo sumbawanga
  4. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Vifaranga wa Kuku wa nyama

    Nahitaji vifaranga wa Kuku wa nyama,naomba kwa yeyote ambaye anajua vinakopatikana anijuze mimi nko sumbawanga
  5. L

    JamiiForums Tanzania Usaili was TARURA mkoa was SONGWE

    Mwenye taarifa juu ya usaili wa nafasi za TARURA zilizofanyika tarehe 4 na 5 anijuze tafadhar
  6. L

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua athari za utandawazi

    Hivi ni athari gan za utandawaz zinazoikabili jamii ya Kitanzania kwa sasa,maana nimekuwa nikisikia kila kitu utandawaz naomba msaada wenu
  7. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amenilisha nini huyu mwanamke

    Kama umejigundua dawa zimeisha nguvu kimbia sana
  8. L

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa tofauti ya maneno haya michezo na burudani

    Asante
  9. L

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya saikolojia ya Elimu katika jamii

    Naomba mnisaidie majibu ya maswali yafuatayo; 1. Tathimini ya matumizi ya saikolojia katika Elimu 2. Mapungufu ya matumizi ya saikolojia katika ujifunzaji na ufundishaji mashuleni.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa tofauti ya maneno haya michezo na burudani

    Naomba kujua tofauti ya maneno haya mawili ya kiswahili
Back
Top Bottom