Amenilisha nini huyu mwanamke

Amenilisha nini huyu mwanamke

Una bahati sana wewe. Dawa haijaingia vizuri ndio maana unaweweseka na kuomba ushauri. Ngoja agundue dozi ilikuwa ndogo, utapigwa dozi ya mtu mwenye kilo 500!!
Napa wakati mwingine inaondoa sumu mwilini
 
Habari wakuu
Ninadate na manzi mmoja matata hivi tunakaa maeneo tofauti ya hapa jijini, mwezi ulioopita alisafiri akaenda kwao huko (mkoani), nikamwambia bebe niiletee kitu cha huko, kweli aliniletea korosho zinafika nusu kilo hivi,

Akaniambia hii zawadi yako so kula peke yako, nilizikandamiza zile korosho kama siku mbili hivi kudadadeki zikaisha, nikatimiza ahadi ya kula peke yangu maana siku hizo mbili alikuwa yuko geto siku ya tatu ndio akaenda kwao,

Wakuu kinachonishangaza ni hiki huyu manzi sasa ninampenda kuliko kawaida halafu atakachoniambia huwa sipingi, Wakati mwingine nikiwa naye nakuwa sijielewi kabisa huwa nafanya chochote anachoniambia , akitoka nikifikilia huwa nagundua kuwa kuna jambo sikuitakiwa kufanya,

Hii hali ina mwezi sasa, siwezi kupindua jambo lolote kwake, juzi kaniambia ratiba ya kukutana kwa mwezi Mara nne yaani kila wiki Mara moja tu, akikuta pesa anachukua bila kuomba (hii haikuwa Tabia yake) kuna vitu vingi vimetokea kwa mda mfupi tangu arudi, mpaka nikiwa mwenyewe na kufikilia naona si kawaida.


Sizonjemadawa
Hakuna kitu kaka, ni ulimbukeni wako tu
Waliolishwa Limbwata hawana huwezo wala wa kujua na kuandika kama wewe unavyofannya huwa wanaokolewa na ndugu na jamaa, , eti umelishwa limbwata na unajua kabisa ni korosho
 
Imewasaidia wengi

changany petroli na mafuta ya taa mil.100 kunywa

kila mkitaka kukutana,

afu ulete mrejesho
 
Back
Top Bottom