Kupoteza muda kwenye mitandao badala ya kufanya kazi kama wewe sasahivi.
Hivi ni athari gan za utandawaz zinazoikabili jamii ya Kitanzania kwa sasa,maana nimekuwa nikisikia kila kitu utandawaz naomba msaada wenu
Pamoja na weweWewe na mleta mada tofauti yake nini?