Recent content by leodigardcyrilo

  1. leodigardcyrilo

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje TANU Ikasalimika na Udini?

    TANU hawakuwa wabinafsi mission yao ilikuwa moja kudai uhuru, ndo maana hata alipokuja mwalimu watangulizi wake waliona wamwachie bila kumuwekea figisu kulikuwa na Viongozi wenye maono na wasio wabinafsi, CCM ya sasa imejaa Wezi Wabinafsi na wenye tamaa, wana roho ya nkikosa tuharibikiwe wote...
  2. leodigardcyrilo

    JamiiForums Tanzania Kuna Chuo wanajamiiana kuzidi IFM?

    🤣🤣🤣🤣
  3. leodigardcyrilo

    JamiiForums Tanzania HOJA Kutoka Urusi: Madhaifu ya Chuo kinachotaka kumpa Samia PhD inauzwa kwa 100,000$ kukuza propaganda

    Watu hawajawahi mpa Putin PhD, unakuja kupewa mtu ambaye elimu ya kugundisha
  4. leodigardcyrilo

    JamiiForums Tanzania Sielewi kinachojengwa pale Mwenge, kwanini hawamalizi?

    Pesa walimalizia kwenye uchaguzi
  5. leodigardcyrilo

    JamiiForums Tanzania Nielimishwe: Je, Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ukivunjika baadhi ya mikoa ya Tanganyika ni himaya halali ya Zanzibar?

    Zanzibar ukiwatoa wale wangazaji waliobaki wanajua Tanganyika inanyonya basi
  6. leodigardcyrilo

    JamiiForums Tanzania Nielimishwe: Je, Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ukivunjika baadhi ya mikoa ya Tanganyika ni himaya halali ya Zanzibar?

    Ukiitoa Sudani ambayo imejitenga nchi zilizobaki ni zao la Berlin conference, Tanganyika ipo kama ilivyo na Zanzibar ipo kama ilivyo. Hata kisiwa cha Mafia sio Zanzibar ni mkoa wa Pwani
  7. leodigardcyrilo

    JamiiForums Tanzania Hawa Manabii wa Kenya Wana Nini na Viongozi wa Tanzania?!, Kitendo cha Nabii wa Kenya Kumtaka Rais Wetu Atubu kwa ya Oct. 29, Sio Dharau?

    Kwa umri wako unajua nani aliwasemea msumbiji hadi wakapata uhuru?
Back
Top Bottom