Recent content by lenexon

  1. L

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Waziri wa Nishati katika Mgogoro wa Mchanga wa Dhahabu unatia Mashaka

    Hii ishu iko kisiasa zaidi, unajua hii ishu si mara kwanza kuibuka. Nakumbuka hata Kwenye AED 2016 raisi aliibua tena na alatuambia maengineer tumuulize prof kwa nini anaruhusu mchanga wa madini unasafirishwa nje, alipokuja kutoa mada tulimuuliza, akasema hatuna umeme wa kuyeyusha ule mchango...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Tumeona makali ya TLS na Chama cha Madaktari. Je chama cha mainjinia kinaoneshaje makali yake?

    sio kweli bhana, kwa engineer anayetoka chuo recent ni kweli kwamba haajiriki ni mpaka apate uzoefu kidogo. But after 1year or 2 years ya kuvolunteer na akaweza kupata skills za kazi huanza kuajirika. Nadhani hii ni kwa kada zote! Engineering bado ni fani nzuri tu ndugu yangu
  3. L

    JamiiForums Tanzania Tumeona makali ya TLS na Chama cha Madaktari. Je chama cha mainjinia kinaoneshaje makali yake?

    Mtoa post Engineer sio mtu wa sport sport, sasa ivi ni muda wa kupiga kazi tu, blabla hakuna. fani nyingine bila tila lila maisha hayaendi.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mlinzi huyu wa mheshimiwa Magufuli alipotelea wapi?

    Hii picha na mm nipo hapo,huyo alikuwa Secretaty wake
  5. L

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Israel yafungua Ubalozi Tanzania

    Kama ni kweli it's good news
  6. L

    JamiiForums Tanzania Tajirika na Tikiti ungali bado kijana

    Fanya utafiti kwanza
  7. L

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Iphone 5

    Be careful nimeibiwa Iphone 5
  8. L

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Kwa kuhutubia Kwa kiswahili

    Hahhaaa
Back
Top Bottom