Mlinzi huyu wa mheshimiwa Magufuli alipotelea wapi?

JembeNaNyundo

JF-Expert Member
Dec 9, 2016
533
652
IMG_2177.JPG
 
Hakuwa na ethics za secret service kwani alitumika kipindi kile cha kampein na wakati akiwa waziri.so labda ashakuwa RPC
 
Napenda mukubali mambo ya ulinzi ya IKULU na viongozi wa juu yako nje kabisa ya ueleo wetu na ni siri kubwa na kwetu sisi hayatusaidii wala kutupunguzia....hapa nina maana tujikite kwenye mambo ya maendeleo na hayo ya ulinzi tuwaachie wahusika tu.
 
Back
Top Bottom