Msaada kuhusu Iphone 5

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,664
Nina iphone 5 lakini sijui passwrd yake sasa hilo najua tayari ni tatizo tosha na hakuna ujanja wa kuuza kama Spare sasa nataka niuze kama spare!!! Nitauza kwa sh ngapi jamani au mwenye kuhitaji aje PM basi tufanye biashara!!!

Au kuna mtu anajua mtalaamu wa kutoa hizo passwrd
 
Hii itakuwia vigumu sana aisee.
Unaikumbuka ile Iphone kule marekani ilikuwa gumzo ku bypass password?? Na imekuwaje unayo simu bila password mkuu
 
Back
Top Bottom