Recent content by Lenemwa

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kingunge Ngombale Mwiru avuliwa ukamanda UV-CCM Taifa

    Bora upumzike. MAANA HAKUNA NAMNA NYINGINE MZEE CCM Ukisema ukweli utakatwa tu
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe hali tete jimboni

    hahaaa. atapigwa tu
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe hali tete jimboni

    Prof.Leonard yupo. ila anafundisha kilimo cha ndizi badala ya kumwaga Sera watu hawataki kulima wanataka kuambiwa wataletewa Barbara ya UMEME hahahaaaa
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe hali tete jimboni

    Mwakalinga yupo, mpinzani ni George Mwakalinga na Kipija Wa shule ya KEIFO.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe hali tete jimboni

    Makamanda wamejipanga huku asikwambie MTU. serikali za mitaa in uthibitisho tosha .atafanya awezalo CCM atapita ila October wana CCM Ndio watamchagua Wa UKAWA
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe hali tete jimboni

    Wakuu habari za kazi, Leo Kata ya Ipinda wilayani Kyela kuna hali tete mpaka muda huu, kuna wagombea kumi nafasi ya ubunge kupitia CCM akiwemo Mwakyembe na Jana kampeni zilianza leo ikiwa ni mwendelezo Kata ya Ipinda. SAA 7 wakianzia Kata ya Muungano pale asubuhi ambako Mh.Mwakyembe alizomewa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kumekucha UKAWA: Lipumba kutoa msimamo wa CUF leo saa tano Asubuhi

    mnaonekana mnajuana sana
  8. L

    JamiiForums Tanzania Basi linalotumia kinyesi lazinduliwa

    RUCCI Hongera zao, sisi tuko busy na maabara.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Tetesi kuwa Putin amepinduliwa

    msemaji wa rais Puttin
  10. L

    JamiiForums Tanzania Shibuda si riziki CHADEMA

    na aliondoka na theluthi ya malaika mbinguni, sijui tutarajie nini kuondoka kwa zitto,kwa mfano ulioutoa
  11. L

    JamiiForums Tanzania Basi la Majinja lagongana uso kwa uso na Lori, Kontena laangukia Basi

    Ajari ni ajari tu, pengine tungetafuta chanzo cha ajari hizo zote! Maana chanzo cha ajari ya leo ni mashimo katikati ya barabara. Sasa kampuni inahusikaje?
  12. L

    JamiiForums Tanzania Watatu wanyongwa mkoani Kilimanjaro na kisha maiti zao kutelekezwa

    Mgodini hasa hii midogo kuna mambo ya kihuni na ajabu sana, japo mengi yanaishia hukohuko! Kuuwana ni kawaida sana hata kwa makosa madogo tu panga, kuna aja ya kuwekwa utaratib ili watu waishi PEACE, maana hakuna aman huko hata kidogo
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mtoto azaliwa na kugundulika kuwa na ujauzito wa watoto mapacha wenye umri wa wiki 8-10

    Du wataalam tunaomba mtupe majibu , wenye akili watafanya utafiti,ila hapa nyumbani iyo imeshapita
  14. L

    JamiiForums Tanzania Pres. Mugabe falls down steps, photographers forced to delete images

    Mbona ni kawaida tu? Au kwa vile ni Rais?hata wewe,mimi kijana naweza anguka tu pamoja na nguvu tulizonazo.
Back
Top Bottom