Mwakyembe hali tete jimboni

Mwakyembe hali tete jimboni

Mgiriki usimjdanganye Mwakyembe ili kumlia hela zame, wewe hukai kyela, Mwekyembe huku kwetu ni zilipendwa danganyaneni huko huko Dar
Halafu huyu Mwakyembe si alisema ataondoka na mkuu wa nchi na hatagombea ubunge tena,ni kipi kilichomrudisha na ni jambo jipi jipya ambalokashindwa kulifanya kwa miaka kumi kwa leo atalifanya?barabara mbovu na za chini ya viwango nae yupo tu ni mwenyekiti wa halmashauri ndugu Kipija ndio anahangaika,hizo baiskeli hazitawasaidia wana Kyela ,Mwakyembe ni ''Past tense''miaka 10 imemtosha hana jipya.
 
mwakyembe kyela kwisha kazi ! akimalizana na hao atakumbana na mtiti wa UKAWA .
 
Upande wa ccm kule kyela hakuna anayeweza kushindana na mwakyembe najua yeye ndio atasimamishwa kugombea ubunge na hakuna mgombea wa chadema anayeweza kumwangusha mwakyembe..
unajidanganya kwa faida ya nani ? kama ingekuwa hivyo kwanini anawanunulia pombe za asili wanawake wajane ?
 
Mwakyembe labda ahame Jimbo ila sio kyela hatakiwi kabisa.
 
Wasioijua Kyela ndio wanaiongelea.
Wakiwekwa Mwakyembe Vs Mwanyamaki....
 
Lubuva amemdhulumu Mwakyembe kwa kutogawa jimbo la kyela katika majimbo mawili ya uchaguzi.
 
Mwakyembe tangu akane maandiko yake mwenyewe kuhusu muungano kwenye bunge la katiba nimemtoa kwenye kundi la watu makini, halafu ana kashfa ya mabehewa... Apigwe tu manake hamna namna ingine
 
Wanambeya hakikisheni ccm isishinde hata jimbo moja maana ccm walivuruga bunge la katiba,walipisha miswada ya dharula kwa ubabe wao sasa nn kifanyike huko mbeya moja wanawake wote marafuku kuvaa madela ya ccm mwaka huu , pili ,kila mwana mbeya kama yupo nje ya mbeya arudi mbeya kulikomboa kila jimbo lao kupitia ukawa au chadema ili kuongeza nguvu ili ccm itoke madarakani pia kila mtu achangie lita tatu petrol au disel .pia tunaomba mwenye kujitolea gari ,pikipiki tutashukuru zaidi kufanikisha kumshinda adui yetu ccm na wabunge wao ,madiwani na Rais wao
 
mwakyembe anaamini yeye ni kila kitu huko kyela. nawapongeza sana hao wagombea wenzake...
 
Upande wa ccm kule kyela hakuna anayeweza kushindana na mwakyembe najua yeye ndio atasimamishwa kugombea ubunge na hakuna mgombea wa chadema anayeweza kumwangusha mwakyembe..

Unaongelea Mwakyembe wa kwenye media siyo huyu wa jimboni.. Mbeya ni watu hatari na wanakwenda na wakati.. Huyu hakubaliki hapa
 
Upande wa ccm kule kyela hakuna anayeweza kushindana na mwakyembe najua yeye ndio atasimamishwa kugombea ubunge na hakuna mgombea wa chadema anayeweza kumwangusha mwakyembe..

Makamanda wamejipanga huku asikwambie MTU.
serikali za mitaa in uthibitisho tosha .atafanya awezalo CCM atapita ila October wana CCM Ndio watamchagua Wa UKAWA
 
Back
Top Bottom