Tetesi kuwa Putin amepinduliwa

Tetesi kuwa Putin amepinduliwa

Marekani wabaaya, vile vikwazo naona vinaiumiza sana urusi, hizi habari zinasemwa semwa usishangae siku moja zikajitokeza na kuwa kweli.

Siwashauri kumuiga alsahaf yule wa iraq waziri wa sadam huseni
 
Urussi kwa ukachero na manipulation ndo wenyewe ukiwa manipulate wanakupoteza
 
MK254;Hilo libwege linafikiria kila mleta mada huwa ndio source, pia nimeweka hadi na link ya chanzo. Halafu ifahamike Putin hapo alipo ni kinyango tu cha majenerali, anaweza akapigwa chini wakati wowote na bila shida yoyote.

----- ni yule anayefanya dissemination ya diabolical statements....
haya nakuuliza tena wewe Mkikuyu hivi unadhani Russia ni Kenya?
au Vladmir Putin ni UHURU?
au Unadhani The Kremlin ni Westgate Mall?
 
[h=1]Russia's Putin reappears in public after long absence[/h][h=2]After 10 days of absence Russian leader holds meeting with Kyrgyzstan's President Atambayev in St. Petersburg.[/h]16 Mar 2015 11:57 GMT | Politics, Europe, Russia, Vladimir Putin


  • facebook.png
  • twitter.png
  • Reddit.png
  • share.png



1b8c610a5fca4309a34701701a1ad373_18.jpg
Putin's ten days of absence ignited speculations about his whereabouts and his health [EPA]President Vladimir Putin has reappeared in public after ten days of absence that ignited speculations about his whereabouts and his health.
Putin was seen on Monday meeting with Kyrgyzstan's President Almazbek Atambayev at the Constantine Palace in St. Petersburg.
Commenting on rumours about his health he said "it would be boring without gossip".
Also on Monday, Putin ordered the Russian Navy's Northern Fleet and paratrooper units to go on full alert as part of snap military exercises in the Arctic, RIA news agency quoted the defence minister as saying.

SOURCE ALJAZEERA

Russia's Putin reappears in public after long absence - Al Jazeera English
 
Hizi habari ni za ulongo..uzushi na uzandiki wa hali ya juu...jamani elewen Rais wa Russia sio mtu mdogo na wala sio kazi rahisi kuipindua serikali ya Urusi haiwezekan kamwe...huu uongo unatungwa na West ili kuivuruga Urusi ni uzushi mtupu..kamanda yuko salama ila alikua na flue inamsumbua akapumzika

msemaji wa rais Puttin
 
Kama sio rahisi mbona ilisambaratika na kuwa nchi kibao.Anyway la kupinduliwa putin sina uhakika.Ila urusi kwa mwendo inaoenda yaweza pinduliwa uchumi umeshaanza kudorora.

Hivi unadhani Urusi ya leo ni ya miaka ya 90?? jidanganye sasa, hakuna siiku wala saa Putin atapinduliwa, najua western wanamuogopa sana ndio mana wanatamani afe au apinduliwe hiyo ni ndoto ya mchana, kamanda yuko safi na anapiga kazi kama kawaida...
 
Hilo libwege linafikiria kila mleta mada huwa ndio source, pia nimeweka hadi na link ya chanzo. Halafu ifahamike Putin hapo alipo ni kinyango tu cha majenerali, anaweza akapigwa chini wakati wowote na bila shida yoyote.

Hivi unajua Putin ana CHEO GANI cha kijeshi?
 
putin anaumwa anatibiwa na mganga kutoka vietnam, ana tatizo la mgongo, muda si mrefu ataonekana hadharani

Mkuu, wakati hii habari inaletwa hapa, the same day alikuwa yuko crimea anahutubia. Alikuwa anaelezea jinsi USA inavyotumia kivuli cha EU kuingia ukraine na kuleta mtafaruku
 
Mimi mwenyewe nilikua napanga kupotwa hapa JF lakini naona kabisa kuwa mtadhani nimepewa shavu....nimeamua acha niendelee kuwepo.
By the way, hizo negative assumptions zenu ndiyo maombi yenu
 
​jamani hebu naomba mtafute any news from russia...maana mimi nimejaribu kupitia google inanijibu we are sorry
 
Back
Top Bottom