Mtoto azaliwa na kugundulika kuwa na ujauzito wa watoto mapacha wenye umri wa wiki 8-10

Du wataalam tunaomba mtupe majibu ,
wenye akili watafanya utafiti,ila hapa nyumbani iyo imeshapita
 
Lah! ni hatari,lakini si vizuri kupinga Tafiti zilizo letwa hapa,maana Kuna msemo wa kizungu unao sema kuwa;NO RESEARCH, NO RIGHT TO SPEAK,hivyo siwezi pinga km wengine wanavyofanya,kama ni kweli basi hayo ndo maajabu ya MUNGU.
 
Back
Top Bottom