- Thread starter
- #41
Kuna prof wa UDSM anagombea ubunge anaitwa Mwaikambo upande wa CCM, vipi upepo unavumaje kwake?
Prof.Leonard yupo.
ila anafundisha kilimo cha ndizi badala ya kumwaga Sera watu hawataki kulima wanataka kuambiwa wataletewa Barbara ya UMEME hahahaaaa