Habari za mda huu ndugu zangu,mimi ni mwalimumwenye shahada ya masomo ya chemistry na biology, natafuta nafasi ya kufundisha shule yoyote sehem yoyote tangu nimehitimu chuo 2018 mambo hayajawa rafiki.
Nipo dar, mwenye connection au anayefaham shule yoyote yenye uhitaji huo naomba msaada...
Habarini za muda huu ndugu zangu Wana jf,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, nina tatizo la nguvu za kiume kwa muda mrefu sasa (takriban 9-10 years) yaani uume umelegea sana sana na hauwezi kusimama kiasi kwamba siwezi kufanya chochote hata hisia za mapenzi/msisimuko haupo kabisa kipindi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.