Lemidmckon
Member
- May 14, 2019
- 19
- 21
Jamani naomba msaada, mdogo wangu amepata div II-11 form six CBG ana Chem E,Bio D,Geo B. Asome course gani nzuri ambayo ni marketable?
Ardhi University wanadgree nyingi sana ambazo ni suitable kwa Graduates wa CBG.. Download Undergraduate Admission Guidebook ya 2023/2024 www.tcu.go.tzJamani naomba msaada, mdogo wangu amepata div II-11 form six CBG ana Chem E,Bio D,Geo B. Asome course gani nzuri ambayo ni marketable?
Akushukuru bila kumpa uelekeo mwambie akimaliza anaenda wapi au anaelekea wapi na vyeti vyake kabatini?Angalia course inaitwa Project planning nahisi udom wanatoa
Utakuja nishkuru baadae sana kma atapata
Kwani yeye alichagua kusoma CBG ili awe nani?Jamani naomba msaada, mdogo wangu amepata div II-11 form six CBG ana Chem E,Bio D,Geo B. Asome course gani nzuri ambayo ni marketable?
Mvuvi wa Samaki pale feliKwani yeye alichagua kusoma CBG ili awe nani?
Akasome kozi moja wapo kati ya hizi:Jamani naomba msaada, mdogo wangu amepata div II-11 form six CBG ana Chem E,Bio D,Geo B. Asome course gani nzuri ambayo ni marketable?
Kwanini asome Project Planning?Angalia course inaitwa Project planning nahisi udom wanatoa
Utakuja nishkuru baadae sana kma atapata