Mimi ni mwalimu natafuta nafasi ya kufundisha masomo ya chemistry na biology

Lemidmckon

Member
May 14, 2019
15
16
Habari za mda huu ndugu zangu,mimi ni mwalimumwenye shahada ya masomo ya chemistry na biology, natafuta nafasi ya kufundisha shule yoyote sehem yoyote tangu nimehitimu chuo 2018 mambo hayajawa rafiki.

Nipo dar, mwenye connection au anayefaham shule yoyote yenye uhitaji huo naomba msaada tafadhali!(nina uwezo wa kufundisha O-level na advance)

Mawasiliano: 0682568835
 
Habari za mda huu ndugu zangu,mimi ni mwalimumwenye shahada ya masomo ya chemistry na biology, natafuta nafasi ya kufundisha shule yoyote sehem yoyote tangu nimehitimu chuo 2018 mambo hayajawa rafiki.

Nipo dar, mwenye connection au anayefaham shule yoyote yenye uhitaji huo naomba msaada tafadhali!(nina uwezo wa kufundisha O-level na advance)

Mawasiliano: 0682568835
Yaani wewe tukikaa na wewe Mana mie hapo Fizikia na maths naiweza. Tukiwa na qt yetu baada ya 5yr tuna shule yetu na baada ya 10yrs hatufundishi Ni kuajiri wengine watufanyie kazi sie time relax. Sema Sasa adi kufikia huko Kuna price to pay or Ile roho ya ku sacrifice no back up or no fall back plan ,no option b since it takes energy from plan b,pia level of comfortable, uncertainties and fear of unknown na brain inapenda certainty sidhani Kama utakabili hao maadui. Tutakuwa na kituo cheti huku bado unapitia Ajira matangazo Mana watu tunapendaa security over freedom.

Sema mie nishaamua Ni Bora nife ama nizeeke kawaida Kama mkulima Ila lazima nifie ndoto zangu. Masuala ya kutumwa Kama mtt ama kuwa na unafiki kujifanya unampenda boss kisa unajipendekeza ili upate cheo na favours kwangu mie naona Ni aheri Nile mchicha niliolima na viazi vitamu na uji kawaida wa ulezi sio lazima uwe na blue band na usafiri wangu uwe baiskeli. But am ready to die for what I love doing or living. Mie nilipokuwaga nasoma sikujuaga maisha ya msomi unakuja kuishi Kama mke wa mtu ama Kama mwanafunzi. Unafanyia kazi dar ukijisikia kutembea to Rwanda you've to ask someone to allow you. Hii kwangu Naona Ni bonge mno la utumwa kwangu mazee.
Yaani Mungu nisaidie nitoboe ndoto yangu iwe true.
Kama unayo mentality njoo tu strike from zero, utakuwa tayari hata kushinda njaa Ila Ni mateso ya muda mfupi.
I know you can't since I know human brain loves instant gratification instead for long term success.
 
Back
Top Bottom