Recent content by Lelyonka

  1. Lelyonka

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa mbegu gani bora kilimo cha Nyanya.

    Kabisa
  2. Lelyonka

    JamiiForums Tanzania Mchakato Ujenzi wa Kiwanda cha Kuchambua Mbegu za Pamba Igunga Waanza

    Jamani naomba mwenye kufahamu, upatikanaji WA mbegu za pamba anijuze. Napatikana MKOA WA GEITA WILAYA YA NYANG'HWALE
  3. Lelyonka

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tuanze na kilimo cha Pamba GMO isio kuwa na hatari kiafya, Ili kukuza zao hilo mikoa ya Kanda ya Ziwa

    Nahitaji mbegu ya pamba Niko hapa kanda ya ziwa Katika MKOA WA GEITA. Nahitaji msaada WA haraka maana mvua zimeanza kunyesha.
  4. Lelyonka

    JamiiForums Tanzania Kunenepesha kuku wa nyama

    Kaka nahitaji mwongozo Wako maana naingiza hao viumbe hivi punde, Banda tayari pamoja na maandalizi mengine. Tusaidiane ndugu
  5. Lelyonka

    JamiiForums Tanzania Aina na sifa za mbegu mbalimbali za mahindi

    Nahitaji mbegu za mahindi zenye RANGI mchanganyiko. Je, Kuna dukani lolote la PEMBEJEO linalouza popote?
  6. Lelyonka

    JamiiForums Tanzania Najuta kuchukua mkopo “Pesa X”

    Hili suala la mikopo ni pasua kichwa kabisa.
  7. Lelyonka

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kutaka kujiua kwa sababu ya kumuacha

    Nakazia!!!!
  8. Lelyonka

    JamiiForums Tanzania Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Au MZEE CHINUA ACHEBE
  9. Lelyonka

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Ndugu. nitumie na Mimi Kwa namba 076257430/0623501011
  10. Lelyonka

    JamiiForums Tanzania Teaching allowance ndiyo ukombozi wa kweli kwa Mwalimu

    SERIKALI anayo
  11. Lelyonka

    JamiiForums Tanzania Teaching allowance ndiyo ukombozi wa kweli kwa Mwalimu

    Lakini pia alikuja akiwa amejaa makamasi puani. Na sisi walimu tukamfundisha kujihudumia na usafi Kwa ujumla. Alikuwa na machacha, hakua anajua kuoga, alikuwa mshamba mwenye kuongea kilugha shuleni na mavazi yake hakuwahi kuyapiga pasi tangu siku Ile alipoyanunua Toka dukani. Leo hii ameelimika...
  12. Lelyonka

    JamiiForums Tanzania Ukweli lazima usemwe, Tunahitaji Muungano wa Serikali 1 tu

    Maoni Yako ni mazuri na naamini umeyatoa Kwa Nia njema. Shida ni kwamba Kuna siasa itaingia hapo na baadhi ya watu itawagharimu. Wagombea wengine watakosa kura na watashindwa kula kama walivyozoea.
  13. Lelyonka

    JamiiForums Tanzania Kwanini ndugu zetu wazaramu wanawapa watoto majina fikirishi?

    Kama namkumbuka vile, yule mama alizawadiwa mihela kwenye ziara ya JPM Pale Morogoro viwandani
  14. Lelyonka

    JamiiForums Tanzania Mwenzako akinyolewa wewe zako tia maji

    Lkn mbona Kila kitu Kiko wazi. Nadhani tusimbeze. Tukumbuke kuwa tetesi nyingi za mambo yanayotokea hapa jamvini zimewahi kuwa kweli kabisa.
Back
Top Bottom