Teaching allowance ndiyo ukombozi wa kweli kwa Mwalimu

270,000 × 5000 × 30 = 40,500,000,000/=

Bilioni Arobaini na Millioni Mia Tano.
[emoji23][emoji23]
Hiyo pesa nani anayo..
Kila mwaka serikali inatenga Hela kununua mashangingi na matumizi mengine na upigaji juu

Serikalini Hela zipo sema Kuna watu wachoyo hawataki wengine wafaifi keki ya Taifa Ilihali wanavuja jasho kama wengine
 
Teaching Allowance inapatikana vipi na italipwa katikati ya mwezi au?

Nisaidiwe hapo tafadhali
 
Achilia mbali kuwa walimu hawana marupurupu mengi katika kazi yao na kama wakidi haikatazwi na inapaswa wasikilize
Ila
Nafikiri miongoni mwawatu wanao zijua vizuri jamii za kitanzania basi mwalimu ni miongoni mwa hao watu,yaani mwalimu anashinda na watoto Wakitanzania ambao wanaakisi hali halisi za majumbani Kwa muda mrefu anaona kula yao wakiwa hapo shule,anaona uvaaji wao na wanafunzi wengine wanashare matatizo yao na walimu pia walimu wamesoma na watu mbalimbali na anajua ugumu WA maisha WA hao watu kabla ya kupata hizo kazi ziwapazo ngebe

ila basi tu tukiwa mitandaoni tunapiga kelelele kudharau kazi ya ualimu na Ili hali wengine wanajishikiza kwenye ualimu Ili wasongeshe maisha lakini wakitoka dharau kama zote sababu wamepata kazi kidogo iliyo na mianya

Kama kweli nyinyi mlio wengi mnamaisha mazuri mbona mnalalamika kuto pesa za michango huko shuleni,mbona watoto wanapuliza uji bila ya vitafunwa,juice za mia Tano na vitu vya shilingi miatano,mia tatu vinadoda haviuziki huko mashuleni na vikiuzika ni Kwa uchache sana

Kiufupi mwalimu anatujua sana watanzania na hali zetu ni basi tu kelele zimekuwa nyingi za kumdharau mwalimu na kumfanya ajione mnyonge
Mkuu humu watu wanajiona muhimu sana

Ila Wana njaa kama walimu au zaidi ya walimu.

Mostly jobless wanakula kwa shemeji
 
Mishahara WA Mwalimu ni wa Nini? Teaching (kufundisha) Allowance (posho). Kwani ukiitwa Mwalimu KAZI yako ni Nini? Si kufundisha? Daaah hii Nchi tutakufa tumechoka Sana.
Mbunge pale Dodoma wakati WA Bunge anakula Kila cku zaidi ya laki 3.unahisi NI KWA ajili ya nn?Kwan akipewa laki haitoshi?c ana mshahara.kuna watu wanalipwa housing allowance, transport allowance,meal allowance,maji na umeme.wanalipwa vya nn c Wana mshahara?nchi za wanaojielewa the highly paid person NI mwalimu.huku kwetu elimu NI kipaumbele cha mwisho ndo mana tutaendelea kuzalisha nguvu KAZI isiyo na tija na reasoning capacity kama yako.
 
Atakuwa Well Paid Vipi anaenda Mei Mosi kutangaza kufurahishwa kupewa Tablet😁😁(Kishikwambi)?? Wanazochezea Cartoon Chekechea. Seriously hiyo ndiyo Furaha na hitaji la Mwalimu?!! Anaacha kueleza anavyoishi Kazini na Mishahara duni isiyo na marupurupu na Baadaye atastaafishwa kwa kwa Mafao Duni🙆🙆(Kikokotoo). Waalimu mliuzi Sana Watumishi Wenzenu Mei Mosi hata wanaowatetea wakashangaa.
 
Achilia mbali kuwa walimu hawana marupurupu mengi katika kazi yao na kama wakidi haikatazwi na inapaswa wasikilize
Ila
Nafikiri miongoni mwawatu wanao zijua vizuri jamii za kitanzania basi mwalimu ni miongoni mwa hao watu,yaani mwalimu anashinda na watoto Wakitanzania ambao wanaakisi hali halisi za majumbani Kwa muda mrefu anaona kula yao wakiwa hapo shule,anaona uvaaji wao na wanafunzi wengine wanashare matatizo yao na walimu pia walimu wamesoma na watu mbalimbali na anajua ugumu WA maisha WA hao watu kabla ya kupata hizo kazi ziwapazo ngebe

ila basi tu tukiwa mitandaoni tunapiga kelelele kudharau kazi ya ualimu na Ili hali wengine wanajishikiza kwenye ualimu Ili wasongeshe maisha lakini wakitoka dharau kama zote sababu wamepata kazi kidogo iliyo na mianya

Kama kweli nyinyi mlio wengi mnamaisha mazuri mbona mnalalamika kuto pesa za michango huko shuleni,mbona watoto wanapuliza uji bila ya vitafunwa,juice za mia Tano na vitu vya shilingi miatano,mia tatu vinadoda haviuziki huko mashuleni na vikiuzika ni Kwa uchache sana

Kiufupi mwalimu anatujua sana watanzania na hali zetu ni basi tu kelele zimekuwa nyingi za kumdharau mwalimu na kumfanya ajione mnyonge
Yaani ukiona mtu anamdharau mwalimu msamehe tu maana hajitambui huyo!
 
Daaaaaah...! Ebu jaribu kufikiria kwanza kabla hujaandika mkuu. Walimu Ndo waliokutoa kwenye ujinga wakakufundisha kusoma na kuandika hichi ulichokiandika.
Lakini pia alikuja akiwa amejaa makamasi puani. Na sisi walimu tukamfundisha kujihudumia na usafi Kwa ujumla. Alikuwa na machacha, hakua anajua kuoga, alikuwa mshamba mwenye kuongea kilugha shuleni na mavazi yake hakuwahi kuyapiga pasi tangu siku Ile alipoyanunua Toka dukani. Leo hii ameelimika baada ya sisi walimu kumfundisha. Kweli tenda wema nenda zako usingoje shukurani. Anatuona walimu Leo ni wajinga. Asante Kwa ujinga wetu.
 
Walimu wamefarijika sana baada ya kumsikia Mh. Rais akisema kwamba swala la teaching allowance amelichukua na anakwenda kulifanyia Kazi.

Tunafahamu mama yetu akisema siku zote anatenda, ameboresha miundombinu ya shule kwa kujenga madarasa, maabara, mabweni hatimae sasa anakwenda kuweka historia kwa kugusa moja kwa moja maslahi ya mwalimu.

Walimu ndiyo kundi lenye watumishi wengine na kundi linafanya Kazi kubwa inayogusa maslahi mapana ya taifa. Mwalimu huandaa watalaamu wanaokwenda kuhudumia kwenye kada mbalimbali kwa ajili ya kujenga na kukuza uchumi wa Taifa.

lkn kubwa zaidi future ya Taifa lolote like ipo mikononi mwa walimu kwa sababu watoto wetu ambao ni taifa la Kesho tunawategea walimu ndo wawaandae kwa kuwapa elimu na kuwalea kwa maadili mema.

Kusikiliza vilio vya walimu na kuvifanyia Kazi imekua ni jambo jema sana na imezidi kuwaaminisha watanzania kwamba Mh. Rais mama yetu Samia suluhu Hasan ni msikivu.
Teaching allowance haiwezi kukuondolea umaskini. Angalia polisi wanapata resheni na bado hali ya maisha yao ni tete.

Unaweza kupewa hiyo posho ya kufundishia tsh 33,000 kwa mwezi , je umaskini utaondoka?

Sulluhisho ni kutumia mshahara kuanzisha vyazo vigine.
 
Halafu nadhani hawajui ku negotiste vizuri kinachotakiwa ni kupanda mshahara

Mshahara ukipanda na pension itapanda

Allowance huwa hazipandishi pension hata ulipwe bilioni kwa mwezi
Mwafrika anaangalia pension?!!yeye anachota apate pesa za pembeni za kutosha aandae maisha yake ya uzeeni mwenyewe!!!bado mapema!! pension zenyewe kiasi gani??Ndio maana mtu anaona bora alipwe mshahara mdogo ila pawepo na marupurupu mengi!!na hapo ndipo kada ya ualimu inaonekana kuwa ngumu kulinganisha na kada nyingine.
 
Walimu wamefarijika sana baada ya kumsikia Mh. Rais akisema kwamba swala la teaching allowance amelichukua na anakwenda kulifanyia Kazi.

Tunafahamu mama yetu akisema siku zote anatenda, ameboresha miundombinu ya shule kwa kujenga madarasa, maabara, mabweni hatimae sasa anakwenda kuweka historia kwa kugusa moja kwa moja maslahi ya mwalimu.

Walimu ndiyo kundi lenye watumishi wengine na kundi linafanya Kazi kubwa inayogusa maslahi mapana ya taifa. Mwalimu huandaa watalaamu wanaokwenda kuhudumia kwenye kada mbalimbali kwa ajili ya kujenga na kukuza uchumi wa Taifa.

lkn kubwa zaidi future ya Taifa lolote like ipo mikononi mwa walimu kwa sababu watoto wetu ambao ni taifa la Kesho tunawategea walimu ndo wawaandae kwa kuwapa elimu na kuwalea kwa maadili mema.

Kusikiliza vilio vya walimu na kuvifanyia Kazi imekua ni jambo jema sana na imezidi kuwaaminisha watanzania kwamba Mh. Rais mama yetu Samia suluhu Hasan ni msikivu.

Mkuu Mimi mbeba mabox huku ulaya Naomba kukuuliza. Je unahisi Serikali ya Tanzania Ina hela sana Ila viongozi na mamlaka za maamuzi wanakuwa wabinafsi kuamua tu kuwa Kesho mfano wafanyakazi walipwe kuanzia 3 m kila mmoja ?
 
Teaching allowance haiwezi kukuondolea umaskini. Angalia polisi wanapata resheni na bado hali ya maisha yao ni tete.

Unaweza kupewa hiyo posho ya kufundishia tsh 33,000 kwa mwezi , je umaskini utaondoka?

Sulluhisho ni kutumia mshahara kuanzisha vyazo vigine.
Mnajua kusema ni rahisi sana!!hivi kweli mfano mshahara wa mwalimu,wa kawaida ulivyo,hana hata shilingi ya pembeni nyingine,huo mshahara kwa matumizi yake tu ya mwezi ni mbinde kutoshereza, hivyo vyanzo vingine atavianzisha na nini??hao wengine kuna sehemu wanaokota okota,unakuta hana habari na mshahara kabisa!!mfano headmaster,mzima hawezi mfikia traffic polisi,aliyeishia kidato cha nne, anayefanyia kazi Dar,ki mapato kwa mwezi,japo anaweza kuwa anamzidi mshahara hata mara 3!!!
 
Nyie walimu wa serikali ni wafanyakazi hewa hasa wa masomo ya arts unakuta limadam la civics,history,kiswahili, English, literature week nzima lina vipind vinne/double mbili dakiki jumla dakka 160 kwa week nae anadai mshahara mdogo....kazi kubwa kupiga umbea na majungu ofisini na kujadili tabia za wanafunz na wazaz wao.
 
Mishahara WA Mwalimu ni wa Nini? Teaching (kufundisha) Allowance (posho). Kwani ukiitwa Mwalimu KAZI yako ni Nini? Si kufundisha? Daaah hii Nchi tutakufa tumechoka Sana.
Mbunge anavokaa bungeni si ana mshahara? Hizo sitting allowance na maposho kibao hadi hela za mafuta ni vya kazi gani?
 
Nyie walimu wa serikali ni wafanyakazi hewa hasa wa masomo ya arts unakuta limadam la civics,history,kiswahili, English, literature week nzima lina vipind vinne/double mbili dakiki jumla dakka 160 kwa week nae anadai mshahara mdogo....kazi kubwa kupiga umbea na majungu ofisini na kujadili tabia za wanafunz na wazaz wao.
mkuu unafikiria kw kutumia nn mkuu mbona huongei busara tabia ya kupga umbea ni subjective sana huwez mjaji mtu kw hilo mana wapo mpka wabunge wnapiga umbea makofi na kusnzia juu bungen na wanalipw mshahara na posho za vikao acha allowances nyngne......!! tusiwakandamize walimu tu kuna mpka manesi na madaktar wako kazn wanauchapa umbea tu wanajfnya wko bze hili ni uzembe wa wafnykaz weng tu liongelew kwa wote wasbebeshwe mzgo hawa walimu
 
Back
Top Bottom