Recent content by LELUU

  1. L

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kiswahili Duniani: Wamarekani na Kiswahili

    Naam uwezo wako ni kufikisha kile ulichojaliwa ila ufahamu ni wa msomaji mwenyewe. Sent from my SM-A525F using JamiiForums mobile app
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mfalme Baraghash ni Mtawala bora kuliko wote Zanzibar

    Sawa Mkuu kwa kunielimisha. Kumbe mkoloni si lazima awe Mzungu au Mwarabu.Na ukoloni kumbe unaweza kuwafanyika kwa kupitia mikataba ya kilaghai kama waliofanya wajerumani .Nimejifunza kumbe kuna baadhi ya nchi huenda bado zinatawaliwa na Waafrika wenzao,Mfano Sahara ya Magharibi huenda...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Mimi nimetafakar na kuna kwamba,kama kuna kitabu chochote kati ya hivi viwili ambacho,Mtume wake (yaani huyo aloshushiwa hicho kitabu na Mungu) amekosolewa kwa kwenda kinyume na vile alivotaka Mungu,basi hicho kitabu nitakua kimetoka kwa Mungu. Kwavile sio rahisi Mwanadamu akajikosoa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Dk. Shein aomba suluhu Z’bar

    Inshallah kheri itapatikana,kila penye nia. Na njia huwepo karibu.Tumuombe Mungu ajaze hekma na busara kwa viongozi wetu wote wa Zanzibar.Mungu ibariki Zanzibar
  5. L

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wanahabari 10 ambao hawana shaka juu ya taaluma yao na unafiki wa kujipendekeza

    Ali Muhammed(SWAHIBA FM) Rama B(SWAHIBA FM) Ali Bakar cheupe(SWAHIBA fm Mbwana bin Ali(coconut FM)
  6. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Ushauri hii kwa wanaume wenzangu tu

    Mambo ya penzi kwanza yataka makubaliano,hapo ndipo pesa huwa na thamani.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Tujifunze, Tuijadili na Kuielewa Historia ya Rais Wetu

    Nisalimie sana Mtolewa, mwambie Wari wa maji. Alete unga wa rutuba.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Wimbo gani wa mapenzi ukiusikia unahisi kama umeimbiwa wewe?

    How can I supposed to live without you.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Wananchi kutengua uamuzi wa kidemokrasia Uingereza!

    Siolazima wao wanapokosea na sisi tukosee. Hata kama watafanikiwa kupindua maamuzi ya umma, isiwe kisingizio kwa Afrika kubariki ukiukwaji wa demokrasia.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, lini utaacha kuwadanganya wananchi?

    Uchaguzi ulifutwa kwa dosari nyingi zilizojitokeza!!!!!??????
Back
Top Bottom