Dk. Shein aomba suluhu Z’bar

Dk. Shein aomba suluhu Z’bar

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917
LICHA ya maneno ya kejeli kutolewa na baadhi ya viongozi wa serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM) dhidi ya Maalim Seif Sharif Hamad, viongozi hao sasa wanaomba suluhu, anaandika Faki Sosi.

Zanzibar imepasuka vipande viwili kutokana na mitazamo kinzani ya kisiasa jambo ambalo limeiweka visiwa hivyo njiapanda.

Kwenye Salamu za Baraza la Eid jana visiwani Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein, rais wa visiwa hivyo ameeleza kutofurahia namna wananchi walivyogawanyika.

“Hali ya kuwepo kwa mizozo kwa baadhi ya masheikh na waumini inatokana na misimamo yao, inaweza kusababisha mifarakani katika jamii,” ameeleza Dk. Shein wakati akihutubia kwenye baraza hilo lililofanyika Mkoani, Pemba.

Kumekuwepo na uhasama mkubwa visiwani humo kati ya wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF) na CCM uliochochewa zaidi baada ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kufuta matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana kinyume na Katiba ya Visiwa hivyo.

Baada ya kufuta uchaguzi huo ZEC iliitisha uchaguzi mwingine uliofanyika tarehe 20 Machi mwaka huu uliosusiwa na CUF, tume hiyo ilimpa ushindi Dk. Shein.

Kwenye baraza hilo Dk. Shein ameeleza kuumizwa na namna mgawanyiko visiwani humo ulivyo mkubwa na kuwataka kuwa wamoja.

Ameeleza kuwa, taswira ya nchi imevurugwa na mgawanyiko visiwani humo jambo ambalo halileti afya katika maendeleo ya visiwa hivyo.

Kwenye baraza hilo ambalo viongozi wa CUF hawakuhudhuria, Dk. Shein amesema, vitendo vya kutengana vimedhihiri kwa kiasi kikubwa huku akitolea mfano wananchi kuchomeana mazao shambani.

Hata hivyo, Maalim Seif akizungumza katika Msikiti wa Kiembe Samaki, Unguja amewataka wakazi wa visiwa hivyo kuwa na subira na kwamba “hakuna jambo lisilokuwa na mwisho.”

Pamoja na Dk. Shein kutaka ‘suluhu’ ya mgawanyiko visiwani humo, serikali yake haikuipa CUF mwaliko wa kuwepo kwa baraza la pamoja la Eid kama ambavyo imekuwa ikifanyika kwenye sherehe zilizopita.

Kauli ya kutotaka kuishirikisha CUF kwenye matukio ya kitaifa ilizungumza na CCM siku chache baada ya Maalim Seif ambaye ni Katibu Mkuu wa CUF kugomea mkono wa Dk. Shein walipokutana kwenye mazishi wa Alhaj Aboud Jumbe, Rais Mstaafu wa Zanzibar.
 
Pongezi sana Kwa Maalim Seif Shariff Hamad. Si rahisi kwa mtu kama yeye kupitia hali aliyopitia na bado anawaambia wafuasi wake wawe na subira. Na ndivyo hata Lowasa alivyofanya. Kwa hali hii, ninaamini kabisa amani ya nchi yetu inatunzwa na vyama vya upinzani na si chama tawala hata kidogo.
 
LICHA ya maneno ya kejeli kutolewa na baadhi ya viongozi wa serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM) dhidi ya Maalim Seif Sharif Hamad, viongozi hao sasa wanaomba suluhu, anaandika Faki Sosi.

Zanzibar imepasuka vipande viwili kutokana na mitazamo kinzani ya kisiasa jambo ambalo limeiweka visiwa hivyo njiapanda.

Kwenye Salamu za Baraza la Eid jana visiwani Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein, rais wa visiwa hivyo ameeleza kutofurahia namna wananchi walivyogawanyika.

“Hali ya kuwepo kwa mizozo kwa baadhi ya masheikh na waumini inatokana na misimamo yao, inaweza kusababisha mifarakani katika jamii,” ameeleza Dk. Shein wakati akihutubia kwenye baraza hilo lililofanyika Mkoani, Pemba.

Kumekuwepo na uhasama mkubwa visiwani humo kati ya wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF) na CCM uliochochewa zaidi baada ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kufuta matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana kinyume na Katiba ya Visiwa hivyo.

Baada ya kufuta uchaguzi huo ZEC iliitisha uchaguzi mwingine uliofanyika tarehe 20 Machi mwaka huu uliosusiwa na CUF, tume hiyo ilimpa ushindi Dk. Shein.

Kwenye baraza hilo Dk. Shein ameeleza kuumizwa na namna mgawanyiko visiwani humo ulivyo mkubwa na kuwataka kuwa wamoja.

Ameeleza kuwa, taswira ya nchi imevurugwa na mgawanyiko visiwani humo jambo ambalo halileti afya katika maendeleo ya visiwa hivyo.

Kwenye baraza hilo ambalo viongozi wa CUF hawakuhudhuria, Dk. Shein amesema, vitendo vya kutengana vimedhihiri kwa kiasi kikubwa huku akitolea mfano wananchi kuchomeana mazao shambani.

Hata hivyo, Maalim Seif akizungumza katika Msikiti wa Kiembe Samaki, Unguja amewataka wakazi wa visiwa hivyo kuwa na subira na kwamba “hakuna jambo lisilokuwa na mwisho.”

Pamoja na Dk. Shein kutaka ‘suluhu’ ya mgawanyiko visiwani humo, serikali yake haikuipa CUF mwaliko wa kuwepo kwa baraza la pamoja la Eid kama ambavyo imekuwa ikifanyika kwenye sherehe zilizopita.

Kauli ya kutotaka kuishirikisha CUF kwenye matukio ya kitaifa ilizungumza na CCM siku chache baada ya Maalim Seif ambaye ni Katibu Mkuu wa CUF kugomea mkono wa Dk. Shein walipokutana kwenye mazishi wa Alhaj Aboud Jumbe, Rais Mstaafu wa Zanzibar.
Kamwambie maalim aache fikra za ki sultani ndipo tutamkabidhi nchi siyo propaganda hizi mnazotuwekea hapa mtandaoni
 
Viongozi wa 'Thiem Zbar' Wajiandae kuwa kuni wakifika mbele za haki... Ujangili wa kura walioufanya kwa wanadam wenzao na kuwafanya waishi maisha ya kudhulumiwa kwa miaka mitano sio mdogo...
 
LICHA ya maneno ya kejeli kutolewa na baadhi ya viongozi wa serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM) dhidi ya Maalim Seif Sharif Hamad, viongozi hao sasa wanaomba suluhu, anaandika Faki Sosi.

Zanzibar imepasuka vipande viwili kutokana na mitazamo kinzani ya kisiasa jambo ambalo limeiweka visiwa hivyo njiapanda.

Kwenye Salamu za Baraza la Eid jana visiwani Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein, rais wa visiwa hivyo ameeleza kutofurahia namna wananchi walivyogawanyika.

“Hali ya kuwepo kwa mizozo kwa baadhi ya masheikh na waumini inatokana na misimamo yao, inaweza kusababisha mifarakani katika jamii,” ameeleza Dk. Shein wakati akihutubia kwenye baraza hilo lililofanyika Mkoani, Pemba.

Kumekuwepo na uhasama mkubwa visiwani humo kati ya wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF) na CCM uliochochewa zaidi baada ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kufuta matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana kinyume na Katiba ya Visiwa hivyo.

Baada ya kufuta uchaguzi huo ZEC iliitisha uchaguzi mwingine uliofanyika tarehe 20 Machi mwaka huu uliosusiwa na CUF, tume hiyo ilimpa ushindi Dk. Shein.

Kwenye baraza hilo Dk. Shein ameeleza kuumizwa na namna mgawanyiko visiwani humo ulivyo mkubwa na kuwataka kuwa wamoja.

Ameeleza kuwa, taswira ya nchi imevurugwa na mgawanyiko visiwani humo jambo ambalo halileti afya katika maendeleo ya visiwa hivyo.

Kwenye baraza hilo ambalo viongozi wa CUF hawakuhudhuria, Dk. Shein amesema, vitendo vya kutengana vimedhihiri kwa kiasi kikubwa huku akitolea mfano wananchi kuchomeana mazao shambani.

Hata hivyo, Maalim Seif akizungumza katika Msikiti wa Kiembe Samaki, Unguja amewataka wakazi wa visiwa hivyo kuwa na subira na kwamba “hakuna jambo lisilokuwa na mwisho.”

Pamoja na Dk. Shein kutaka ‘suluhu’ ya mgawanyiko visiwani humo, serikali yake haikuipa CUF mwaliko wa kuwepo kwa baraza la pamoja la Eid kama ambavyo imekuwa ikifanyika kwenye sherehe zilizopita.

Kauli ya kutotaka kuishirikisha CUF kwenye matukio ya kitaifa ilizungumza na CCM siku chache baada ya Maalim Seif ambaye ni Katibu Mkuu wa CUF kugomea mkono wa Dk. Shein walipokutana kwenye mazishi wa Alhaj Aboud Jumbe, Rais Mstaafu wa Zanzibar.
Inshallah kheri itapatikana,kila penye nia. Na njia huwepo karibu.Tumuombe Mungu ajaze hekma na busara kwa viongozi wetu wote wa Zanzibar.Mungu ibariki Zanzibar
 
Mkuu mleta uzi ushapata tende na harua weye? Mpeni yakhee...
 
Anasema hayo huku anamuandalia Jecha nishani, ni unafiki tu wa viongozi wa kiafrika.
 
Si alihahidiwa kulindwa na hakuna fyokofyoko ?! Suluhu ya nini sasa ?
Tena Mkulu aliushangaza Ulimwengu kwa kutamka hadharani kuwa mastermind wa wi.. zi wa kura wa Zenji Jecha eti anastahili kupewa nishani ya utumishi uliotukuka!

Pengine Mkulu alikuwa anamaanisha kuwa Jecha anastahili nishani iliyotukuka kwa 'ukibaka' wa kura za wazanzibari kwenye uchaguzi mkuu wa October 25 mwaka jana.......
 
LICHA ya maneno ya kejeli kutolewa na baadhi ya viongozi wa serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM) dhidi ya Maalim Seif Sharif Hamad, viongozi hao sasa wanaomba suluhu, anaandika Faki Sosi.

Zanzibar imepasuka vipande viwili kutokana na mitazamo kinzani ya kisiasa jambo ambalo limeiweka visiwa hivyo njiapanda.

Kwenye Salamu za Baraza la Eid jana visiwani Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein, rais wa visiwa hivyo ameeleza kutofurahia namna wananchi walivyogawanyika.

“Hali ya kuwepo kwa mizozo kwa baadhi ya masheikh na waumini inatokana na misimamo yao, inaweza kusababisha mifarakani katika jamii,” ameeleza Dk. Shein wakati akihutubia kwenye baraza hilo lililofanyika Mkoani, Pemba.

Kumekuwepo na uhasama mkubwa visiwani humo kati ya wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF) na CCM uliochochewa zaidi baada ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kufuta matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana kinyume na Katiba ya Visiwa hivyo.

Baada ya kufuta uchaguzi huo ZEC iliitisha uchaguzi mwingine uliofanyika tarehe 20 Machi mwaka huu uliosusiwa na CUF, tume hiyo ilimpa ushindi Dk. Shein.

Kwenye baraza hilo Dk. Shein ameeleza kuumizwa na namna mgawanyiko visiwani humo ulivyo mkubwa na kuwataka kuwa wamoja.

Ameeleza kuwa, taswira ya nchi imevurugwa na mgawanyiko visiwani humo jambo ambalo halileti afya katika maendeleo ya visiwa hivyo.

Kwenye baraza hilo ambalo viongozi wa CUF hawakuhudhuria, Dk. Shein amesema, vitendo vya kutengana vimedhihiri kwa kiasi kikubwa huku akitolea mfano wananchi kuchomeana mazao shambani.

Hata hivyo, Maalim Seif akizungumza katika Msikiti wa Kiembe Samaki, Unguja amewataka wakazi wa visiwa hivyo kuwa na subira na kwamba “hakuna jambo lisilokuwa na mwisho.”

Pamoja na Dk. Shein kutaka ‘suluhu’ ya mgawanyiko visiwani humo, serikali yake haikuipa CUF mwaliko wa kuwepo kwa baraza la pamoja la Eid kama ambavyo imekuwa ikifanyika kwenye sherehe zilizopita.

Kauli ya kutotaka kuishirikisha CUF kwenye matukio ya kitaifa ilizungumza na CCM siku chache baada ya Maalim Seif ambaye ni Katibu Mkuu wa CUF kugomea mkono wa Dk. Shein walipokutana kwenye mazishi wa Alhaj Aboud Jumbe, Rais Mstaafu wa Zanzibar.
Wacha uzushi huo
 
Sidhani kama kweli dr.shein kayatamka haya ulioyaandika! Na kama kayasema kweli, atakuwa anaenda kinyume kbs na kauli ya mkuu wa kaya* tuwekee clip tiamini*
 
Swali dogo tu naomba kumwuliza shein, je wakati anaiba ushindi kwa kushirikiana na jecha hakuona kuwa hili litatokea? Kusikitika kwake ni unafiki wa Hali ya juu.
 
Suluhu ukimaanisha nini sasa?
Maana Rais shein Na Rais Magufuli wameshasema hakuna uchaguzi mwingine Zanzibar hadi 2020!
Au unamaanisha ukawa wanajiandaa kumkubali Shein Kama Rais halali wa Zanzibar??
 
Kama hamjielewi wazanzibar mtakorogwa sana na watanganyika, wakati mkiwa na uhakika uchaguzi wenu ulivurugwa eti mnaambiwa mmpe Jecha nishani, bado hamwoni mnatukanwa kiaina?
 
Back
Top Bottom