Recent content by lelooo

  1. lelooo

    Kwanini Wahaya hawana maendeleo kama Wachaga wakati kote elimu ilifika mapema?

    Kwa ulichokisema kwa makabila mengine ndio yamelala kabisa bora hata ya haya mawili
  2. lelooo

    Kushindwa kwa Fei Toto ndio nafuu ya ushindi wa soka letu!

    Hujui mpira na hata sheria za mpira huzijui
  3. lelooo

    Napinga GSM kuingia mkataba na NBC ili kuendesha ligi kuu ya soka Tanzania

    We jinga kweli, umesikia wapi Yanga inamilikiwa na GSM? nyie kama mmeamua kuuza timu yenu kwa mudi mtulie mmilikiwe. Kwa Young African huo upuuzi noo. GSM ni mdhamini tuu.
  4. lelooo

    The SGR, War, MAGUFUGAME Kidedea, MUSEVENYATTA Mikono Juu Kukubali Matokeo!, Magufuli Shujaa, Apiga Bao Kupiga Tanchi!. Hongera JPM Kwa Kuona Mbali!.

    Hapa sasa iv tunavoongea sgr ya kenya ipo naivasha maana yake inaweza fanya kazi tokea mombasa hadi naivasha km 579. Lakin hadi sasa sie watanzania sgr yetu haijaanza kufanya kazi dar to moro 200 km, then wewe pasco unakuja kusifia hata hueleweki
  5. lelooo

    Kenya inaongoza kwa idadi ya mabilionea ukanda huu, uchumi wa Nairobi pekee nusra ufikie uchumi wa Tanzania yote

    Hii list si ya kweli sababu mwaka 2017 ilitoka report tanzania ina over 200 milionaires dollars
  6. lelooo

    Jinsi mkurugenzi wa ATCL na waziri walizuiwa kuingia uwanja wa Oliver Tambo, Afrika Kusini

    Bora umekiri kuwa tunadaiwa na unaamini tutalipa ilo deni ili safarii iendelee. Naomba nikuulize kitu huoni kuna ujinga mwingiwa makusudi unafanywa na serikali ambao unatugarimu sisi kama taifa? Mfano wangeongeaa mapema na SAA kuhusu ilo deni je abiria wangeathirika? Je sisi wananchi tungejua...
  7. lelooo

    Maendeleo ya Kaskazini ni juhudi za wananchi kupitia vyama vya wakulima

    Laiti watu wanavowalalamikia wachagga kuwa wamewaibia wengine,ingelikuwa nchi inaongozwa kwa serikali za majimbo hakika kilimanjaro ingekuwa na maendeleo zaidi ya mara 5 ya yalivyo saiv. Maana kodi nyingi zinazokusanywa na serikali kuu zinazotokea kilimanjaro zinarud kidogo kwa ajili ya...
  8. lelooo

    Maendeleo ya Kaskazini ni juhudi za wananchi kupitia vyama vya wakulima

    Tatizo unaongea bila fact na wala hujui historia ya wachagga wala chochote kile kuhusu umoja wao na maendeleo yao kwa pamoja. Wakati nasoma uchagani michango ilikiwa inachangwa kila nyumba 10000 kila mwezi kwaajili ya kujenga madarasa ya shule. Kulikuwa kuna ujambazi mkubwa haswa wakati wa...
  9. lelooo

    Magufuli angewapenda wana Chato angewekeza kwenye rasilimali watu kwanza

    Pia angewekeza katika miradi kama ya maji hata kila nyumba au mita 20 kutoka kila nyumba iwe na maji safi wilaya ya chato.angeunda vikundi vya saccos na watu waelimishwe juu ya uvuvi bora na wakisasa pia kilimo na ufugaji bora, na wakopeshwe mitaji na atafutie masoko ya bidhaa zao. Hapo chato...
  10. lelooo

    Wafanyakazi wanalipa kodi kubwa kuliko wafanya biashara

    Lakini pia mfanyakazi anao uhakika wa kupata iyo mil 2 kwa mwezi. Ila mfanyabiashara hana uhakika hata kidogo.tena kama biashara yake ina risk kubwa basi ana uhakika wa hasara pia mtaji kumeguka baadhi ya miezi.
  11. lelooo

    Google yatangaza kuacha kufanya kazi na Kampuni ya Simu ya Huawei! Yasema imefuata amri ya USA

    Androidtokea siku nyingi haifanyi kazi uchina.ilishapigwa marufuku kwa sababu za kiusalama.kwaio kwa hapo china huawei wanatumia operating system zao ilasoko la duniani ndio watachemka sababu android ndio kateka
  12. lelooo

    China yajibu mapigo-Yapandisha kodi kwa bidhaa za USA

    Maana yake hapo atakaye athirika zaidi ni mchina maana anamtegemea zaidi mmarekanikuliko mmarekanian avomtegemea mchina
Back
Top Bottom