China yajibu mapigo-Yapandisha kodi kwa bidhaa za USA

Ila mkuu unajua China hata asipouza nje bidhaa zake watu wake tu wanaweza kununua na uchumi ukaendelea kukua kama kawaida
Acha porojo za vijiweni bwana. Mbona hajaacha kuuza nje basi na yeye ndio anawafuata wamarekani kwenda kwenye mikutano Washington.
 
Mimi naona bora mchina amefanya hivi mapema ili liwalo na liwe....maana alikuwa anaenda kuonekana dhaifu na vilevile kodi ingepigwa kwa bidhaa zote...alichofanya dawa tu.
 
Hapo ni sawa na israel na palestina, mwenzako ameua watu wako ishirini wewe uliyeua mmoja ndiyo unashangilia ushindi, marekani wameweka tariffs za zaidi ya 460 billions of dollars na wamesema china wakilipa kisasi wataweka tariffs kwenye bidhaa zote za china sasa hapo nani ataumia
Unajua china inapeleka bidhaa za thamani kiasi gani USA na USA inapeleka kiasi gani china?

Unataka china nao waweke hizo tarrifs za billion 200 na wakati hawajafika huko kwenye uthamani wa hizo bidhaa
 
China atanyoosha mikono kwenye hili kabisa nakwambia, kwanza wewe angalia mwenzio kaweka B200 yeye analipiza B60,,majibu yanayofuata hapo ni B500, pia jamaa kashasema sio lazima kufanya business na china, na ndio hass analotaka...kwenye hili kwa kweli china akubali tuu yaishe
Hapo ni sawa na israel na palestina, mwenzako ameua watu wako ishirini wewe uliyeua mmoja ndiyo unashangilia ushindi, marekani wameweka tariffs za zaidi ya 460 billions of dollars na wamesema china wakilipa kisasi wataweka tariffs kwenye bidhaa zote za china sasa hapo nani ataumia
 
Na ndio kinachofuata,,,hapa mchina anamwangalia US peke yake hajajua nini kinafuata
trade deficit kati ya China na USA ni kubwa mno, kwenye trade war mchina ataumia sana tu, na hapo bado EU, Canada na Australia hawajaanza kumkalia kooni kisawasawa.
 
Nyie hamjui Trump na matajiri wengine wanatafuta Global recession ili wapige pesa, wanajitahidi kuanzisha Vita na Venezuela au Iran kinachowashinda ni sababu ya kuweza kuvamia hizo nchi, na unaona mafuta yamepanda bei hiyo siyo bahati mbaya wakati mafuta yalipoteremka bei Uchumi wa Saudia na UAE ulitetereka hadi wakaachana na project kubwa. Jamaa wamemkamata Trump kaiwekea Iran na Venezuela vikwazo ili wao wauze mafuta kwa bei ya juu.
Ishu ya China na USA, mchina ataathirika lakini hatoumia jamaa wanajua kuvumilia katika shida, nachokiona kunakitu Trump anakitaka huko China haswa fursa kubwa za biashara.
trade deficit kati ya China na USA ni kubwa mno, kwenye trade war mchina ataumia sana tu, na hapo bado EU, Canada na Australia hawajaanza kumkalia kooni kisawasawa.
 
Hapo ni sawa na israel na palestina, mwenzako ameua watu wako ishirini wewe uliyeua mmoja ndiyo unashangilia ushindi, marekani wameweka tariffs za zaidi ya 460 billions of dollars na wamesema china wakilipa kisasi wataweka tariffs kwenye bidhaa zote za china sasa hapo nani ataumia
Kumbuka ni bidhaa chache (na thamani ndogo) za Marekani ndizo huingia China wakati zile za china zinazokwenda Marekani ni nyingi (na thamani kubwa)
 
Hapo ni sawa na israel na palestina, mwenzako ameua watu wako ishirini wewe uliyeua mmoja ndiyo unashangilia ushindi, marekani wameweka tariffs za zaidi ya 460 billions of dollars na wamesema china wakilipa kisasi wataweka tariffs kwenye bidhaa zote za china sasa hapo nani ataumia
Mkuu Kama hujui uchumi kaa kimya.

Kwanza USA anauza vichache kwa China kuliko China anavyouza kwa Marekani.

Pili unapoweka tariff ya aina yeyote Nini kinatokea. Moja Bei ya bidhaa hiyo hupanda hivyo watu hununua kiasi kidogo (unapoteza mapato ya Kodi) lakini pia kwa bidhaa zianzopatikana huko tu zinapanda Bei na wananchi wako wanapata shida.

Kwa upande wa pili nchi inapoteza soko (less export) lakini pia Ni fursa kutafuta masoko mapya.

China kuweka tariff kwenye baadhi ya bidhaa Tena zenye thamani ndogo kuliko za Marekani ni kuangalia bidhaa ambazo Marekani anataka Sana kuuza China na ndio soko kubwa lakini China ameona Kuna uwezekano wa kuounguza demage kwa raia lakini Marekani atapata shida kwa maana hatouza na politically itamletea shida.

Nakupa mifano miwili.

Moja 2015/16 nchi za ulaya ziliiwekea sunction Urusi kwenye mafuta silaha n.k. Urusi ilijibu kwa kuweka vikwazo kwenye apple(matofaa) na peazi. Unajua Nini kilitokea Ufaransa, italy, na hasara waliyopata? Google.

Pili Tanzania ilipoanza kuimarisha uuzaji wa Tanzanite waziri mkuu wa India alioomba Tanzania iendelee kuuza raw Tanzanite maana kule India inaweka ajira zaidi ya 400,000. India IPO tayari kuisadia Tanzania kiuchumi. Tulipokataa walikataa kununua mbaazi kutoka Tanzania. Matokeo unayajua.

Sasa kumalizia mdala usiangalie absolute figure ya value ya bidhaa traded Bali consequences zake short, medium and long term Ni kubwa Sana kwa pande zote. Hakunaga mshindi zaidi ya mazungumzo na kukubaliana Mambo yaende Kama yalivyokuwa with slight modification win win situation.

Pia Soma issue ya Kenya vs Tanzania 2015 magari ya utalii kuingia Kenya vs KQ kupunguziwa route to Dar
 
Maana yake hapo atakaye athirika zaidi ni mchina maana anamtegemea zaidi mmarekanikuliko mmarekanian avomtegemea mchina
Ni kweli...lakini pia Marekani wataathirika kwa soko lao la ndani. Kumbuka sababu zinazoeleweka bidhaa za China (zilzojaa katika supermarkets zao) ni nafuu na sasa zitakuwa aghali. Si rahisi kuzireplace mara moja.
 
Mkuu Kama hujui uchumi kaa kimya.

Kwanza USA anauza vichache kwa China kuliko China anavyouza kwa Marekani.

Pili unapoweka tariff ya aina yeyote Nini kinatokea. Moja Bei ya bidhaa hiyo hupanda hivyo watu hununua kiasi kidogo (unapoteza mapato ya Kodi) lakini pia kwa bidhaa zianzopatikana huko tu zinapanda Bei na wananchi wako wanapata shida.

Kwa upande wa pili nchi inapoteza soko (less export) lakini pia Ni fursa kutafuta masoko mapya.

China kuweka tariff kwenye baadhi ya bidhaa Tena zenye thamani ndogo kuliko za Marekani ni kuangalia bidhaa ambazo Marekani anataka Sana kuuza China na ndio soko kubwa lakini China ameona Kuna uwezekano wa kuounguza demage kwa raia lakini Marekani atapata shida kwa maana hatouza na politically itamletea shida.

Nakupa mifano miwili.

Moja 2015/16 nchi za ulaya ziliiwekea sunction Urusi kwenye mafuta silaha n.k. Urusi ilijibu kwa kuweka vikwazo kwenye apple(matofaa) na peazi. Unajua Nini kilitokea Ufaransa, italy, na hasara waliyopata? Google.

Pili Tanzania ilipoanza kuimarisha uuzaji wa Tanzanite waziri mkuu wa India alioomba Tanzania iendelee kuuza raw Tanzanite maana kule India inaweka ajira zaidi ya 400,000. India IPO tayari kuisadia Tanzania kiuchumi. Tulipokataa walikataa kununua mbaazi kutoka Tanzania. Matokeo unayajua.

Sasa kumalizia mdala usiangalie absolute figure ya value ya bidhaa traded Bali consequences zake short, medium and long term Ni kubwa Sana kwa pande zote. Hakunaga mshindi zaidi ya mazungumzo na kukubaliana Mambo yaende Kama yalivyokuwa with slight modification win win situation.

Pia Soma issue ya Kenya vs Tanzania 2015 magari ya utalii kuingia Kenya vs KQ kupunguziwa route to Dar
Uko right mkuu,.Sema wamarekani wa kolomije wanashabikia wanadhani ni soka,Punguzeni mahaba.Muda ndiyo utaongea.
 
China atanyoosha mikono kwenye hili kabisa nakwambia, kwanza wewe angalia mwenzio kaweka B200 yeye analipiza B60,,majibu yanayofuata hapo ni B500, pia jamaa kashasema sio lazima kufanya business na china, na ndio hass analotaka...kwenye hili kwa kweli china akubali tuu yaishe
Labda tu hujui usemalo

Kama China anaingiza bidhaa zenye thamani USD 500billion Kodi anayopata Ni zaidi ya 50Billion tuki assume anacharge 10% as import taxes/duties. Alisema aache kunununua kutoka China maana yake anapoteza income ya 50Billion Kama revenue kwa serikali ya Marekani. Lakini haiishi hapo hizo bidhaa utazipata wapi kwengine? Kwa Bei gani? China ndio sehemu pekee bidhaa hizo Ni cheap. Hivyo kusema atachukua sehemu ingine kwa vyovyote economic welfare ya wamarekani itaadhirika.

Pili ukisusa bidhaa za wenzako zisiingie nchini kwako nao hususia bidhaa zako kuingia kwenye solo lake. Sasa Marekani wakisema zero product from China. Kweli China itappteza soko worth 500Billion. Na China ananunua zaidi ya 100Billion kutoka Marekani. Nae America anapoteza soko la bidhaa zake worth 100B.

Hizo Ni absolute figure. Tuje kwenye ajira kiasi gani zitapotea pande zote? Angalia Nani mlaji au mtumiaji mkubwa wa oil duniani wakipunguza 3% nchi zote zinazozalisha mafuta including Marekani watasuffer maana Bei ya mafuta ikishuka kwa dola 1 tu kishindo chake kikubwa.

Tatu China anapopulation ya 1.3billion wakati Marekani wan 380million hivyo China anaouwezo wa kustimulate domestic consumption kuounguza athari za Marekani lakini Marekani kwa population na demand ya product za kichina Ni kubwa hivyo kuwashawishi kununua product za kituruki ambazo Ni ghali zaidi ya za China inaweza isiwe na tija Sana.

Nne China anatrade kwa dollar na Yuan hivyo anaweza kudevalue pesa Yale Kisha bado akaendelea kuwa cheaper na kuattract new markets au hata Trump tarrif zisiwe na maana yeyote.

Mfano: Yuan 100 sawa na Dollar 20
China ikishusha thamani ya hell yake by 5% maana yake ili kununua Dolla 20 za awali utahitaji Yuani 105. Hivyo duniani kote watapata nafuu kununua China hivyokuwa more competitive.

Marekani Hana advantage kushusha thamani ya Dollar maana anapoteza globally kuliko china kudevalue hell yake.

Hivyo sio mchezo mzuri hata kidogo. Some Tariff and trade barrier regimes 1960s to 1990s utaona jinsi gani nchi ziliathiriwa na hizo economic barriers.

Stand to be corrected
 
Back
Top Bottom