Recent content by lejojo

  1. L

    JamiiForums Tanzania Waturuki wamekuja na mabalaa yao

    Wapi huko boss? ama kwel tumevamiwaa
  2. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbappe kanitekea demu wangu

    hiv humu jukwaan una partner? anakuchukuliaje?
  3. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UTABIRI: Argentina huenda ikatwaa Kombe la Dunia 2022 Qatar

    utoto wa fb na twitter unakuja jf kwa kazi!
  4. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimesitisha kutoa mahari

    Boya sana we jamaaa na usibishe!
  5. L

    JamiiForums Tanzania Wakulima na mnaolima tupeane michongo mjini kugumu

    Eka moja ya nyanya mkuu ni laki na nusu??? acha upotoshaji! "HAIPUNGUI LAKI TATU"
  6. L

    JamiiForums Tanzania Wakulima na mnaolima tupeane michongo mjini kugumu

    Usijalibu kulima kitunguu! utakuja ufe kabla ya wakti wako! thank me later!
  7. L

    JamiiForums Tanzania Nyama kilo 12000, asante Rais Samia kweli unaupiga mwingi

    Badilike jamaan! mama samia ndio mfugaj?
  8. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamua niachane na mke wangu sababu muonekano wake haunivutii

    Vipi mnafamilia? kama una familia wewe ni mwanaume mwenye tabia mbaya saana! ni mharibifu hata huyo utakae mpata utamfanya hivohivoo
  9. L

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe atikisa Marekani, Wazungu wamkimbilia kuchota Ushauri wa namna alivyoweza kupigania Demokrasia kwa Jasho na damu

    Wazunguu wanamshangaa gaidi kuwa uliwezaje kunywa faru john, na ulivoanguka hukuvunjika?
  10. L

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri kuvunjwa?

    Hakuna mwanadamu mkamilifu, majaliwa ana mapungufu ila anatufaa sana hasa kwa nyakat hizi
  11. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu Mwanamke tumeshindwana. Aende zake tu mi siwezi kwa kweli

    Ccm tuna uhakika wa kutawala miaka 1000+
  12. L

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kwa wale wanaoteseka na maji ya chumvi pata machine ya kuchujia maji chumvi kuwa maji baridi

    duuh mashine moja billion 5 asee garama sana!
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuwa Shaka ni mpwa wa Rais Samia? Na kama ni kweli CCM mmebariki nepotism hii ndani ya chama?

    KATIKA KOSA KUBWA LILILO FANYWA NA CHAMA CHANGU CHA CCM, NI KIMPA UENEZI HUYU SHAKA! ile nafasi haimtoshi kabsaaa, tumekabidhi leaner kuindesha ndege ya masafa marefu!! pale inatakiwa tumuweke kijana mwenye uwezo wa kupambana na wapinzani!!
  14. L

    JamiiForums Tanzania Dodoma : Dkt Samia ashindwa kupata asilimia mia moja ya kura za Wajumbe, baadhi wamkataa

    Uchaguzi unafanyika ccm we kinakuuma nn baby ake faru john?
Back
Top Bottom