Recent content by legendury

  1. L

    JamiiForums Tanzania Wafanya biashara wenye changamoto za TRA, barua kutoka TRA na mambo ya Kodi - Arusha

    Mfanya biashara wa Arusha Je, biashara yako inakutana na changamoto katika kudeal na mambo ya TRA, usimamizi wa fedha, uhasibu, au masuala ya kodi? Tunatoa huduma za ushauri wa kitaalamu zinazotolewa kwa biashara katika mkoa wa Arusha. Huduma Zetu ni Pamoja na: Kufuatilia mambo yako ya TRA...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Huduma za Uhasibu na Ushauri wa Kodi (Kudeal na TRA) - Arusha

    Hapana, sisi sio kampuni. Ni viajana tulio unganisha nguvu na ujuzi wetu wa ki-hasibu ili kuweza kufanya kazi kwa ufanisi zaidi. Jina tunalotumia ni SEF Consulting. Kwa sasa hatuna social media pages, unaweza kuwasiliana au ku-inquire chochote kupitia mawasiliano yafuatayo> 📞 Piga Simu...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Huduma za Uhasibu na Ushauri wa Kodi (Kudeal na TRA) - Arusha

    Mfanya biashara wa Arusha Je, biashara yako inakutana na changamoto katika kudeal na mambo ya TRA, usimamizi wa fedha, uhasibu, au masuala ya kodi? Tunatoa huduma za ushauri wa kitaalamu zinazotolewa kwa biashara katika mkoa wa Arusha. Huduma Zetu ni Pamoja na: Kufuatilia mambo yako ya TRA...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Msaada: Uthibitisho wa malipo ya kodi TRA

    Huduma za Uhasibu na Ushauri wa Kodi (Kudeal na TRA) - Arusha Mfanya biashara wa Arusha Je, biashara yako inakutana na changamoto katika kudeal na mambo ya TRA, usimamizi wa fedha, uhasibu, au masuala ya kodi? Tunatoa huduma za ushauri wa kitaalamu zinazotolewa kwa biashara katika mkoa wa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye uzoefu wa kuandika barua ya kupinga makadirio ya kodi TRA anisaidie mfano

    Huduma za Uhasibu na Ushauri wa Kodi (Kudeal na TRA) - Arusha Mfanya biashara wa Arusha Je, biashara yako inakutana na changamoto katika kudeal na mambo ya TRA, usimamizi wa fedha, uhasibu, au masuala ya kodi? Tunatoa huduma za ushauri wa kitaalamu zinazotolewa kwa biashara katika mkoa wa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lolote linalohusiana na kampuni katika upande wa kodi na usajili

    Mkuu mimi nina swali Kama nimeanza biashara mwaka jana November 2022, na mwaka huu natakiwa ni file Return of income zikiwa na audited financial statements Lkn niliambiawa siwez fanyiwa audit mpka biashara iwe na miezi sita, sasa pale kwenye kusubmit financial statements ntaweka nini
  7. L

    JamiiForums Tanzania Bia ni Safari Lager na Castle Lager tu nyingine ni takataka

    Umekosea, bia ni Kilimanjaro, safari, serengeti lager, castle lite....in that order
  8. L

    JamiiForums Tanzania Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    Mimi ni Accountant. Natafuta mtu mwenye uhitaji wa usaidizi katika kazi za kuhasibu and related field. Bure kabisa, kwa ajili ya kuongeza exposure kwenye accounts, Finance, tax and related fields. Location: Arusha
  9. L

    JamiiForums Tanzania Hivi Watanzania kwa nini huwa wanatumia haya maneno mawili kwa wakati mmoja? "Unless otherwise"

    Mimi sijui, Unless otherwise hatujui kiingereza
  10. L

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje ndugu zangu kuhusu line ya simu

    Uliupiga mwingi
  11. L

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje ndugu zangu kuhusu line ya simu

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini ukipanda Basi la Mikoani linaloendeshwa Kasi (Spidi) sana utayaona yafuatayo kutoka kwa abiria waliolipanda?

    Hua unaelekea mkoa gani maana mkoa abria wanakoenda inaweza kua ndo tatizo
  13. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu amenyoa nywele na zilikuwa zinanivutia sana

    Mnunulie wigi la natural Case closed [emoji41]
  14. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mavazi yanataka kunikosesha mke, nishaurini

    [emoji23][emoji23]kambaa
  15. L

    JamiiForums Tanzania Wakuu vidonda vya tumbo dawa yake nini?

    Aende hospitali tuko 2021
Back
Top Bottom