Hii imekaaje ndugu zangu kuhusu line ya simu

Profesa ntare nkobe

JF-Expert Member
Feb 5, 2018
6,957
8,073
Pole na majukumu ya na imani yangu mpo poa naomba kuuliza kuna mtu kanipigia simu na kuniambia namba ninayo tumia ni yake alipoteza simu anataka kurenew so na mimi ndio natumia karibu mwaka na nimesajili kupitia kitamburisho changu cha Nida sasa kisheria ime kaaje hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisheria ni yako
laini isipotumika ndani ya miezi 6 bila taarifa yoyote
Kampuni husika inauza kwa mtumiaji mwingine
so mpe pole sana jamaa
Km akitaka atangaze DAU umuuzie
Kisheria inawezekana mnaenda wote AIRTEL mnanaliza

Hio laini bira shaka itakuwa mtandao wa AIRTEL ndio wana mambo ya kindezi hivyo
Unasajiri laini kwa kufuata taratibu zote unashangaa LAIBONI masai huko porini wanaanza kusumbua kupiga wakidhani ndugu yao kumbe laini ishwauzwa

Km sio AIRTEL basi HALOTEL nao wanaishu hizo za ajabu
 
Kisheria ni yako laini isipotumika ndani ya miezi 6 bila taarifa yoyote
Kampuni husika inauza kwa mtumiaji mwingine so mpe pole sana

Km sio AIRTEL basi HALOTER nao wanaishu hizo za ajabu

Inabidi mtafutane mwende wote ili wote mfutiwe hiyo laini! Lazima wote ni watumiaji hewa!
 
Kisheria ni yako laini isipotumika ndani ya miezi 6 bila taarifa yoyote
Kampuni husika inauza kwa mtumiaji mwingine so mpe pole sana
Km akitaka atangaze DAU umuuzie
Kisheria inawezekana mnaenda wote AIRTEL mnanaliza

Hio laini bira shaka itakuwa mtandao wa AIRTEL ndio wana mambo ya kindezi hivyo
Unasajiri laini kwa kufuata taratibu zote unashangaa LAIBONI masai huko porini wanaanza kusumbua kupiga wakidhani ndugu yao kumbe laini ishwauzwa

Km sio AIRTEL basi HALOTER nao wanaishu hizo za ajabu
Hawa ni voda pia asante sana kwa kuni elimisha
 
Nilipatwa na mkasa kama huu, ni kama umenisema mimi, nilikuwa napigiwa na Mama yoyo wengi kuliko ndugu zangu, kwahasira nikatoa line nikaiweka kwenye modem/MiFi wajuane hukohuko
 
Nilikutana na hicho kisa Airtel, kuna huyo jamaa alikuwa ananipigia kila siku anasema nimeacha kazi gereji nimeiba spea, kila nikijaribu kumuelewesha sio mimi ananitukana nikiblock anakuja na namba nyingine ananitukana.

Ikawa tumejiwekea utaratibu wa kugombana kila asubuhi na jioni, mwisho wa siku nilichoka line yao niliiweka kwenye modem sema spidi ya kobe nikaiacha hiyo line nafikiri ilishajifia
 
Pole na majukumu ya na imani yangu mpo poa naomba kuuliza kuna mtu kanipigia simu na kuniambia namba ninayo tumia ni yake alipoteza simu anataka kurenew so na mimi ndio natumia karibu mwaka na nimesajili kupitia kitamburisho changu cha Nida sasa kisheria ime kaaje hii

Sent using Jamii Forums mobile app
mimi namba zangu zote zinafanana sasa kuna kipindi nilikaa Emali Kenya huko kwa miezi 3 ile narudi tz kuswap line ya Airtel nikaambiwa ameshapewa mtu mwingine so nisajili namba mpya....!!!!
Iliniuma ila sikuwa na jinsi nikaamua kuachana nao mazima
 
Hivi ni kwa nini line iliyonunuliwa na kusajiliwa isipotumika miezi 6 inaingizwa sokoni kuuzwa tena? Kwa nini TCRA wanaruhusu hivi?
 
Na mimi ilinitokea kuna watu wa Lindi walikuwa wananipigia sana. Kuna dada akawa ananipigia ananiita kwa jina fulani, nikasema sio mimi, kwani huyo mtu unayemtafuta hauna namba yake nyengine au hauwezi kumfikia kwa njia mbadala? akasema anaweza.
Nikamwambia basi amtafute, akishampata anipe na mimi namba yake huyo jamaa.
Alivyonipa namba so ikawa mtu akijitambulisha tu kuwa anapiga simu kutoka Lindi nampa namba ya mhusika moja kwa moja, mpaka sasa miezi mitano nisha-solve tatizo.
 
Nilikutana na hicho kisa Airtel, kuna huyo jamaa alikuwa ananipigia kila siku anasema nimeacha kazi gereji nimeiba spea, kila nikijaribu kumuelewesha sio mimi ananitukana nikiblock anakuja na namba nyingine ananitukana.

Ikawa tumejiwekea utaratibu wa kugombana kila asubuhi na jioni, mwisho wa siku nilichoka line yao niliiweka kwenye modem sema spidi ya kobe nikaiacha hiyo line nafikiri ilishajifia
 
Na mimi ilinitokea kuna watu wa Lindi walikuwa wananipigia sana. Kuna dada akawa ananipigia ananiita kwa jina fulani, nikasema sio mimi, kwani huyo mtu unayemtafuta hauna namba yake nyengine au hauwezi kumfikia kwa njia mbadala? akasema anaweza.
Nikamwambia basi amtafute, akishampata anipe na mimi namba yake huyo jamaa.
Alivyonipa namba so ikawa mtu akijitambulisha tu kuwa anapiga simu kutoka Lindi nampa namba ya mhusika moja kwa moja, mpaka sasa miezi mitano nisha-solve tatizo.
Uliupiga mwingi
 
Kisheria ni yako
laini isipotumika ndani ya miezi 6 bila taarifa yoyote
Kampuni husika inauza kwa mtumiaji mwingine
so mpe pole sana jamaa
Km akitaka atangaze DAU umuuzie
Kisheria inawezekana mnaenda wote AIRTEL mnanaliza

Hio laini bira shaka itakuwa mtandao wa AIRTEL ndio wana mambo ya kindezi hivyo
Unasajiri laini kwa kufuata taratibu zote unashangaa LAIBONI masai huko porini wanaanza kusumbua kupiga wakidhani ndugu yao kumbe laini ishwauzwa

Km sio AIRTEL basi HALOTEL nao wanaishu hizo za ajabu
Ni kweli kabisa...
 
Huna haja ya kuihangaikia. Kama wewe umefuata taratibu zote na umesajiri kwa jina lako halisi na namba ya NIDA,kazi yako imeisha. Mwache ahangaike yeye. Kama anaipenda sana mwambie apandishe dau kwenye laki 3,hapo sio mbaya unaweza kumuachia.

Lakini kama anapayuka tu bila kusababisha,we muache aendelee atatulia.
 
Back
Top Bottom