Recent content by LegalGentleman

  1. LegalGentleman

    JamiiForums Tanzania Ajira serikalini

    Sikiliza muungwana na nisikilize kwa umakini sana. Kazi za Serikali na private sector ni ngumu sana muungwana. Wanaotoka ni wachache sana sana ila wanaotaka kuingia ni wengi. Sasa iko hivi kwako wewe ambaye unasema sina ata mtaji sasa nitawezaje?🥺😭😭😭 sasa acha kuilamu serikali muungwana mda...
  2. LegalGentleman

    JamiiForums Tanzania TAMRISO na COSOTA

    Tanzania Music Rights Society kwa sasa inatoa leseni za sanaa zinazoruhusu matumizi ya kazi za kibunifu katika maeneo ya kibiashara ambazo kabla ya mabadiliko ya sheria ya fedha zilikuwa zikitolewa na COSOTA. TAMRISO ndio sasa watakusanya na kugawa mirabaha sasa Mirabaha ni nini? Ni fedha...
  3. LegalGentleman

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuwa Serikali haina fedha ya kuwajengea stendi ya mabasi ndugu zetu nshomile?

    KUTOKA BUKOBA RWAMISHENYE KYEBITEMBE[emoji28] Maoni yangu ni kuwa stendi ilishapangiwa bajeti na environmental scanning ya eneo la stendi imeshafanyika zamani sana itajengwa KYAKAIRABWA. Serikali imeshindwa kuweka fedha katika mradi huu lakn pia Mbunge ambaye anabidi kupush anashindwa kufanya...
  4. LegalGentleman

    JamiiForums Tanzania Mdaharo - Oppose or propose

    Je, ni kweli kuna vitu vingi vya kumuomba Mungu kabla ya kumuomba utajiri?
  5. LegalGentleman

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu Canada kinatoa kozi ya Christiano Ronaldo

    A University in Canada offers students the chance to take a sociology course in Cristiano Ronaldo. It is reported it will take 4 years to graduate with a Ronaldo degree. You can now study CR7 at University ======== The University of British Columbia Okanagan in Canada is now offering...
  6. LegalGentleman

    JamiiForums Tanzania John 15:4

    John 15:4, "Abide in me, and I in you."
  7. LegalGentleman

    JamiiForums Tanzania Mambo usiyoyajua kuhusu Korea Kaskazini

    SHERIA 6 ZA KOREA KASKAZINI KAMA ZIKILETWA TANZANIA ITAKUWA KILA KONA CCM YATUNYANYASA 1. Style ya kunyoa nywele inachaguliwa na Serikali Hiki kinaweza kuwa ni kitu cha kushangaza sana lakini ni kweli mwaka 2013 serikali ya Korea Kaskazini ilianzisha sheria ambayo inaipa mamlaka ya kuchagulia...
  8. LegalGentleman

    JamiiForums Tanzania Mambo usiyoyajua kuhusu Korea Kaskazini

    Mambo usiyoyajua kuhusu Korea Kaskazini. 1. Bangi ni Halali kabisa nchi nzima, na haichukuliwi kama ni kitu cha kulewesha /drug. 2. Ndio nchi pekee duniani hadi sasa ambayo imewahi kuiteka meli ya kivita ya wamarekani. 3. Wakati dunia nzima leo ni 2016 kwao ni mwaka 105 wakihesabu kuanzia...
  9. LegalGentleman

    JamiiForums Tanzania Lionel Messi ni mchezaji wa ajabu

    Baadhi ya makocha na wachezaji wa zamani wamemzungumzia Messi Kwa aina tofauti: 𝐌𝐢𝐜𝐡𝐚𝐞𝐥 𝐎𝐰𝐞𝐧: "Sifikirii mtu yeyote anaweza kucheza mchezo wa soka kama vile Messi." 𝐅𝐫𝐚𝐧𝐤 𝐑𝐢𝐛𝐞𝐫𝐲: "Messi ni darasa. Kuna yeye, halafu kuna wengine." 𝐒𝐚𝐦𝐮𝐞𝐥 𝐄𝐭𝐨’𝐨: "Lionel Messi ni Mungu, kama mtu na hata zaidi...
  10. LegalGentleman

    JamiiForums Tanzania Rest in peace Take Off, Migos will miss you so much

    I'm the next 2Pac and Biggie Scaled dope for 2Pac, pockets on Biggie Pop a molly have you shaking like that n***a Diddy Your pockets fat but now they slim, call it Missy TakeOff (lyrics 2pac and Biggie song). Rest in peace New school rapper He got shot and killed yesterdayd!
  11. LegalGentleman

    JamiiForums Tanzania What position is the hardest to play in football?

    What position is the hardest to play in football?
  12. LegalGentleman

    JamiiForums Tanzania Rappers that have been influenced by Tupac

    Rappers that have been influenced by Tupac: Kendrick Lamar Dax Eminem Kanye West Siddhu Musewala Drake Nas J. Cole 50 Cent DMX Nipsey Hussle Freddie Gibbs Polo G Meek Mill The Game and more... Your favourite rappers’ favourite rapper.
  13. LegalGentleman

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya milipuko ya magonjwa iliyoua watu wengi

    Tauni ya Kifo Cheusi (Bubonic Plague): Ulitokea mwaka 1347 – 1351, watu milioni 75 hadi 200 wamekadiriwa kufa, ndani ya miaka 4 uliua takribani theluthi ya wakazi wa Ulaya. - Mafua makali ya Hispania 1918: Yaliyotokana na virusi aina ya Influenza H1N1 na vilisababisha Nimonia kali, mapafu kujaa...
  14. LegalGentleman

    JamiiForums Tanzania Kamanda ya Daz Baba ni ngoma yenye hisia ukiwa umelewa

    Umewahi kusikiliza nyimbo ya KAMANDA - DAZ NUNDA ukiwa umelewa wewe? Basi leo Alhamisi kwenye TBT ukipata nafasi fanya hivyo utakuja kunishukuru baadae.
  15. LegalGentleman

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia EAC kwa wanaogombea ubunge EAC

    KWA WABUNGE WANAOMBA KURA KUWAKILISHA BUNGE LA EAC HAYA MAMBO MUHIMU SANA YA KUZINGATIA "Asiyekubali kushindwa huyo sio mshindani" Binafsi nianze kwakukipongeza chama cha mapinduzi (CCM) kwa namna nzuri iliyotumika katika kuwapata wagombea ubunge wa Afrika Mashariki kwa ngazi ya chama. Hakika...
Back
Top Bottom