LegalGentleman
Member
- Oct 26, 2021
- 99
- 296
Je, ni kweli kuna vitu vingi vya kumuomba Mungu kabla ya kumuomba utajiri?
MDAHARO tena? Au ulitaka kuandika nn likakuponyoka?JE NI KWELI KUNA VINGI VYA KUMUOMBA MUNGU KABLA YA KUMUOMBA UTAJIRI?
"Mdaharo" ndiyo nini? Si ungeandika "uharo" tu.Je, ni kweli kuna vitu vingi vya kumuomba Mungu kabla ya kumuomba utajiri?
😂😂😂😂 Daah!!!"Mdaharo" ndiyo nini? Si ungeandika "uharo" tu.