LegalGentleman
Member
- Oct 26, 2021
- 99
- 296
Tauni ya Kifo Cheusi (Bubonic Plague): Ulitokea mwaka 1347 – 1351, watu milioni 75 hadi 200 wamekadiriwa kufa, ndani ya miaka 4 uliua takribani theluthi ya wakazi wa Ulaya.
-
Mafua makali ya Hispania 1918: Yaliyotokana na virusi aina ya Influenza H1N1 na vilisababisha Nimonia kali, mapafu kujaa maji na tishu za mapafu kuharibika. Ugonjwa uliambukiza takriban watu milioni 500 na vifo takriban milioni 50 hadi 100 vilikadiriwa kutokea.
-
Mlipuko wa Tauni ya Justinian (The Plague of Justinian): Ulianzia Roma na kusambaa, idadi ya vifo inakadiriwa kufikia milioni 25 hadi 50. Ulisababiswa na bakteria aina ya Yersnia Pestis, ulifikia kiwango cha kuua watu 5000 kwa siku
-
Mlipuko wa Tauni ya Antonine: Hii iliikumba Roma na Ulaya. Kwa wastani uliua watu milioni 5, katika kilele cha mlipuko huu inakadiriwa ulikuwa unaua watu 2000 kila siku.