Recent content by lee james

  1. lee james

    Miaka inaenda sioni Future yangu. Nimekata tamaa!

    badilisha reference yako ya mafanikio...je mafanikio yako unayapima kwa kuangalia kitu gani..ma padri awaoi ila wanaonekana poa wakiendesha ibada..watoto wa mitaani awana pa kulala ila goal yake apate msosi kwa siku..Pia tafuta purpose ya maisha yako unawezekana sio vyote unavyotamani au...
  2. lee james

    Kama hali ikiendelea hivi, Wakazi wa Dar wote watakufa kwa ugonjwa wa Dengue

    jambo la uhai wa mtu kutoka si kazi yetu ni kazi ya mbingu
  3. lee james

    Hivi wakazi wa Dar huwa hamuoni kinyaa kula mboga za majani zilizomwagiliwa maji machafu?

    watu wanaenda kwa mpalange itakua mboga za majani..tena zimepikwa labda tungekua tunakula mbichi..afu sisi wote ni wa mavumbi na mavumbini tutarudi na tunatembea na kinyesi..acha kuoverthink wewe
  4. lee james

    Ujio wa pili wa Yesu na Alliens invasion

    kwa io ujuiwa pili wa yesu atakuja kama alien🤣🤣....na tutapigana nae mpaka kieleweke
  5. lee james

    Yuko wapi Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Dkt. Bashiru Ally?

    hakika..nimeamini pia kifo ni for really
  6. lee james

    Yuko wapi Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Dkt. Bashiru Ally?

    ila katika watu ambao wamepitia wakati mgumu ni pamoja na bashri...mzee aligusa nafasi nyeti za serikal ndani ya muda mfupi baada ya hapo akastaafu mapema kama makonda..kwel tubakize akiba ya maneno sponsa ufariki
  7. lee james

    Mababu zetu walitangulia mbele za haki kabla ya Wamisionari na Waarabu kuleta dini wanahukumiwaje?

    Watahukumiwa kulingana na kile walichokuwa wanadhani ni sahihi kwao. Hapo zaman pia kulikua na mila na desturi kun jambo ulikua ukifanya unaonekana umekosea..so sheria zao ndo zikazokua zinahukumu. Ushawah jiuliza kama hiki tunachoamini sio sahihi itakuaje pia. Je, kama sisi ndo tunakaidi na...
  8. lee james

    Uhuni niliofanyiwa na M-Pesa Tanzania

    pole sana naona halotel wamechoka kuona unatuma hela za vocha zantel😂
  9. lee james

    Uhuni niliofanyiwa na M-Pesa Tanzania

    siku nyingine lipa kwa Tigo pesa🤓
  10. lee james

    Ni sehemu gani nzuri ya Kuficha 'Pochi' yako Chumbani 'Gesti' ukiwa umemnunua 'Malaya' wa Kulala nae hadi Asubuhi ili asikuibie?

    kwenye pochi yake 😁 😁 ...... au mpe akushikie lakini pia anza kuwalipa kwa kutumia mitandao ya simu itakufanya usitembeena cash
  11. lee james

    Urembo wa huyu dada umeniponza, naombeni ushauri

    siku nyingine tumia vichwa vyote viwili...ukiona cha juu kinakutaza usiruhsu cha chini kufanya kazi akinaga akili😁
  12. lee james

    Dkt. Ndugulile: Tunawakaribisha wote wanaotaka kuwekeza kwenye 5G

    inabidi twende ivoivo mkuu mpaka tufike..hata marekani wanatangaza tender za kufikisha internet vijijini
  13. lee james

    Nahitaji matibabu ya kisaikolojia. Nina tatizo kubwa la kufikiria kupita kiasi 'overthinking'

    Stoicism was founded around 301 BC by Zeno of Citium in Athens, Greece. It was nearly forgotten for two millennia. Fortunately various texts from the 3 principle leaders Marcus Aurelius, Epictetus, and Seneca survived and now build the bedrock of the reviving philosophy. The philosophy is of...
  14. lee james

    Nahitaji matibabu ya kisaikolojia. Nina tatizo kubwa la kufikiria kupita kiasi 'overthinking'

    kuna baadhi ya psychology articles unaweza soma i ni kwa ajili ya kujisaidia mweywe pasipo kumwona therapist..ingawa ni vzr pia kuongea na watu ili kuona auko mwnywe..kwa kuongea na watu itakufany ujiisi auko mwnywe na kuona unayoyaptia ni maisha ambayo karbia kila mwanadamu mwny ufahama anapitia
Back
Top Bottom