Teknocrat
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 3,816
- 8,456
Igunga barabara moja...Mnakula sana bamia na mboga za majani maana ndio chakula kikuu. Sio kama mikoani kuna vitoeo kibao.
Lakini mboga za majani mnazokula zinalimwa mabondeni na humwagiliwa maji machafu ya kinyesi.
Mimi nikiwa zangu Igunga ni kula kuku,nyama ya ng'ombe na mbuzi. Mboga za majani zinakuwepo kama kicholombwezo.
Watu wa Dar hamuoni kinyaa kula kinyesi na uchafu?
Yule Shifter Msomali bado yuko