Recent content by leamashina

  1. L

    Precsion Air Kiboko.......Eti watu wameshaboard na kutangaziwa Rubani nani Ghafla eti shukeni..

    Elewa ndege ni chombo cha usafiri kama gari lako. Lolote laweza kutokea kama lilivyotokea kwa Precision Air. Watanzania sijui tuko je, tunapoona kampuni ya mzawa inalegalega badala ya kutafuta njia ya kumsaidia mmiliki wake kimawazo tunamkandia. Kampuni kama hii ndo inawasaidia vijana wenzetu...
  2. L

    office administaror anatakiwa

    Kipindi hiki kuna utapeli mkubwa wa kazi. kaeni chonjo huyu sio mwajiri ila tapeli tu. Huwezi tangaza ajira isiyo na kichwa wala miguu. usichezee jamii forum mkuu.
  3. L

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    KERO YANGU NI ' THE WORKERS COMPENSATION ACT 2002" INAYOTUMIKA SASA. Kipengele cha 7: Ukipata ulemavu wa kudumu kazini sheria inasema ulipwe mishahara yako kwa miezi 54 lakini kiasi hicho cha pesa kisizidi 108,000 na kisipungue 2,000. Kwa kweli ni sheria inayokandamiza sana mfanyakazi aliyepata...
  4. L

    Sheria inayotumika ukipata ulemave kazini ni ipi jamani?

    Asante sana Nimeipata hiyo Act The Workers' Compensation ACT 2002. Baada ya kuisoma nimesikitika sana. Kipengele cha 7 kinasema ukipata ulemavu wa kudumu unapaswa kulipwa mishahara yako ya miezi 54 lakini kiasi hicho cha pesa kisizidi 108,000 na kisipungue shs. 2,000. Uliimanisha sheria hiyo...
  5. L

    Sheria inayotumika ukipata ulemave kazini ni ipi jamani?

    Wanasheria ninawaomba msaada. Nimeumia kazini, ni sheria ipi inatumika? Au haki zangu ni zipi?
  6. L

    Bata mzinga wanauzwa

    Wanunuzi tupo, tangaza bei mjengoni mkuu? jike au dume, rangi na umri wake
  7. L

    Msaada pleaseeeeeeeeeeee

    Tulizana huna ugonjwa wowote, furahia maisha kwa kunywa maji. Kukujoa mkojo wa njano ni kutokunywa maji ya kutosha. Unatakiwa unywe maji si chini ya lita mbili kwa siku.
  8. L

    Physical Therapy

    Hospitali zifuatazo zina physiotherapists: Agha khan, Hindu Mandal, Regency, Lugalo, TMJ na Mount Mkombozi iliyoko kinondoni Morroco. Pia kuna za Private nzuri sana- moja iko Moroco karibu na Furaha Clinic. Kama una pesa taslimu nenda ya Morocco.
  9. L

    Nauza vitoto vya Mbwa kwa ulinzi bei 180,000

    Wamebaki wanne. walikuwa 18 nzee wangu
  10. L

    Nauza vitoto vya Mbwa kwa ulinzi bei 180,000

    Baba no dober nzee.
  11. L

    Nauza vitoto vya Mbwa kwa ulinzi bei 180,000

    Sijaokota vijibwa koko barabarani kaka ila nafuga mbwa kwa ajili ya ulinzi. Nimechanja chanjo ya kuzuia Pavo disease na tayari wamepata dawa za minyoo. Wako FRESH
  12. L

    Nauza vitoto vya Mbwa kwa ulinzi bei 180,000

    hawa puppies ni cross breed ya German shepherd na doberman
  13. L

    Yule jamaa aliyetokea mabwepande saa 12 asubuhi alikuwa anenda wapi?

    Unanistaajabisha sana, Msamaria mwema ahojiwe kwa nini? Mungu ambariki sana yeye na uzao wake. Wangemfuata wale wabaya wake si wangemmalizia. Kama huna hoja stop writing.
  14. L

    POLISI: KOVA hana la kufanya...

    Kova angalikuwa Nigeria angeshtakiwa kwa kuwa rumor mongerer kwa kuwa aliyoyasema si ya kweli. Pole sana ndugu yangu Kova. Mwacheni Mungu aitwe Mungu. Kuna jambo Mungu anataka kutufundisha kupitia kwa Dr. Ulimboka. Kila mtu aliyehusika kumwaga damu yake amekaribisha laana kwenye uzao wake...
  15. L

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    Kero zangu ni the Workers Compensation Act 2002. Soma Chapter 263 utusaidie. Wako wananchi wengi wanalia kuhusu Act hiyo inayotumiwa na Labour. Iweje mtu aumie na kulemaa akiwa kazini alipwe 108,000/= zitamsaidia nini? Dr Lissu Tundu uko wapi utusaidie sisi wanyonge?
Back
Top Bottom