Domhome
JF-Expert Member
- Jun 28, 2010
- 3,198
- 3,972
Kova as well as the detained suspect both need to take the lie detector test.
Yes, Polygraph test need to be done!!!!
Kova as well as the detained suspect both need to take the lie detector test.
Mwigulu atumiwa meseji na wabunge wa cdm kutishiwa kuuawa
Kazi ipo mwaka huunakumbuka msemaji wa jeshi la polisi alikuwa kamanda MSIKA, Jamaa alikuwa safi sana, lkn toka alipohamishiwa dar huyo kova basi kila kitu ni yeye tu mpaka jamaa nadhani amekata tamaa
nakumbuka msemaji wa
jeshi la polisi alikuwa kamanda MSIKA, Jamaa alikuwa safi sana, lkn toka
alipohamishiwa dar huyo kova basi kila kitu ni yeye tu mpaka jamaa
nadhani amekata tamaa
Maafisa mbalimbali wa Jeshi la Polisi wamedai kuwa Ripoti zote anazozitoa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Alhaji Suleiman Kova,juu ya sakata la Dr.Ulimboka, ni za kupikwa kutoka juu. Maafisa hao, niliozungumza nao muda mfupi uliopita,wamedai kuwa Kamanda Kova hana la kufanya zaidi ya kusema anachoagizwa. '
'Kila kitu kinaratibiwa toka kwa wakuu wake' walisema Maafisa hao wenye vyeo vya Makamishna Wasaidizi wa Polisi.'Wanamdumaza kwakweli,kila wanachotaka kisikike ndicho anachosema Kamanda Kova. Si uungwana na wala si tulichofundishwa kama Maaskari' walisema kwa kulalama maafisa hao walionipigia magoti nisiwataje majina yao.Hatahivyo,maafisa hao waligoma kugoma kutaja 'juu' wanapopazungumzia...
mwanamme aliyekamilika si anaye kubali kila anacho ambiwa, kama haamini anacho ambiwa amwaambie waseme wao wana amini. a real man should a man
Msemaji yuko ni Afande Advera, naona hana la kusema maana linahusu kanda ya DarHIVI JESHI LApOLISI HALINA MSEMAJI TENA SIKU HIZI? HUYU KOVA HANA UWEZO KABISA KUWA MSEMAJI
Yawezekana alizingatia umuhimu wa mwigizaji katika mauzo yake ya filamu ambayo mwisho wa siku yanaingia kwenye kodi na baadaye kamanda anapata riziki yake --- lolKama Kamanda wa Polisi, kwa Unafiki mkubwa alikwenda kuupigia salute mwili wa mwigizaji, atashindwa kufanya nini la kujitoa akili ili awafurahishe "mabwana" zake!
The guy is but a walking corpse.
nakumbuka msemaji wa jeshi la polisi alikuwa kamanda MSIKA, Jamaa alikuwa safi sana, lkn toka alipohamishiwa dar huyo kova basi kila kitu ni yeye tu mpaka jamaa nadhani amekata tamaa
![]()
Huu mchezo sijui utaishije na movie director Msangi yupo anasimama bega kwa bega na Kova.
Ni filamu hii inaendelea na tusubiri tuone mwisho wake.
Kijana wangu YESU anakuona kwa huo uzushi wako na kutumika kwako kwani unalipwa shilingi ngapi pale mtaa wa UFIPA?
duh sijawahi ona muingizaji sinema kupigiwa saluti...kweli only in bongo hiyo..huyu ndio kiongozi wetu wa polisi anayesimamia upelelezi wa ulimboka? dah!!
Mwigulu atumiwa meseji na wabunge wa cdm kutishiwa kuuawa
Alianza YANGA, akala 2 : 0. Akaja SIMBA na kiherehere chake naye akala 2 : 0. Ngoma ikawa droo.