Sheria inayotumika ukipata ulemave kazini ni ipi jamani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheria inayotumika ukipata ulemave kazini ni ipi jamani?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by leamashina, Jul 26, 2012.

 1. l

  leamashina Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanasheria ninawaomba msaada.
  Nimeumia kazini, ni sheria ipi inatumika? Au haki zangu ni zipi?
   
 2. Chenge

  Chenge JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 1,077
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Ni sheria inayoitwa 'Workmen Compensation Act'
  Kiwango cha fidia kitategemea na aina ya ulemavu ulioupata, mfano malipo ya ulemavu wa muda ni tofauti na malipo ya ulemavu wa kudumu
   
 3. l

  leamashina Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante sana Nimeipata hiyo Act The Workers' Compensation ACT 2002. Baada ya kuisoma nimesikitika sana. Kipengele cha 7 kinasema ukipata ulemavu wa kudumu unapaswa kulipwa mishahara yako ya miezi 54 lakini kiasi hicho cha pesa kisizidi 108,000 na kisipungue shs. 2,000. Uliimanisha sheria hiyo ya ukandamizaji namna hiyo?
   
Loading...