Recent content by leaderofleaders

  1. L

    Nisaidieni kuchagua jina la mtoto

    sasa kama tayari unayo majina unataka nini tena? mwite yote uunganishe.
  2. L

    Champions League last 16: Real Madrid kuivaa PSG; Chelsea kukipiga na Barcelona

    Chelsea pekee ndiyo yenye nafasi ya kuvuka
  3. L

    Wanywaji wa Soda hatarini

    Hayo maelezo hayatoshi kuthibitisha athari ya unywaji wa soda. Viwango vya kemikali vilivyopo kwenye soda vimewekwa kwa viwango vinavyokubalika kimataifa. Sidhani kama viwango hivyo vinaweza kuruhusiwa ilihali vinaleta madhara kwa afya ya binadamu. Wangeshauri mtu anaruhusiwa kunywa kiasi gani...
  4. L

    Ubaguzi dhidi ya watu wa kaskazini kunaweza kugawa nchi vipande viwili.

    Sishangai kwa sababu huwa mnayo tabia ya kujisifia kwa vitu msivyokuwa navyo.
  5. L

    Dr. Ntuyabuliwe .Lini alihitimu 'PHD' yake

    WEWE NI MWONGO AU HAUKO MAKINI. HAKUNA POPOTE AMBAPO JINA HILO LIMETAJWA. ACHA KUKURUPUKA NA KUANDIKA BILA KUSHIRIKISHA AKILI
  6. L

    Shule mkoani Kilimanjaro zakosa wanafunzi, huku mikoa mingine ikikabiliwa na ukosefu wa madarasa, tatizo ni nini?

    unashangaa nini sasa? hilo sio jambo la ajabu. shule zipo nyingi sana. kuna vijiji vinashule za msingi tatu. Kijiji nilichosoma zilikuwepo shule za msingi nne. Hapo mwika penyewe si chini ya shule tano ambazo zipo eneo hilo. pia wazazi walio wengi wanapeleka watoto shule za binafsi kutafuta...
  7. L

    Heshima na utii kwa mamlaka kutoka kitabu kikongwe warumi 13:1-7

    Mamlaka haimaanishi mtu. Acha kudanganya watu.
  8. L

    Sikuwahi kujua kama Mwingira wa Efatha kawekeza kijiji kizima namna hii!

    Hayo mnayojadili sio kweli na sidhani kama mnaijua huduma ya efatha. Ni ujinga na kukosa hekima unapomshuhudia mtu uongo kwa mihemko na kwa kuwa tu umeweza kuongea. Mwenye kuielewa vizuri efatha ni wale waliopo ndani ya hiyo huduma au waliowahi kupata neema ya kuhudumiwa katika huduma.
  9. L

    CS Amina Mohamed appointed UN advisor

    Hiyo ni tabia ya maskini. Furahi na wanaofurahi. Unaona shida gani kumpongeza?
  10. L

    Inawezekanaje mtu anamaliza university halafu hajui kuandika kiingereza na amesoma hapa nchini?

    Acha kudanganya watu na kujifariji. Lugha ni muhimu ili uweze ku-share ujuzi ulionao kwa ulimwengu. Kiingereza ndiyo lugha ambayo ambayo inaunganisha asilimia kubwa ya watu duniani. Ni muhimu kuijua lugha ya kiingereza walau basic.
  11. L

    Nikumbusheni jama, hivi wachaga wamewahi kupambana vita yoyote na wakoloni?

    Naomba tu nikupe pole kubwa kama unadhani kuna mchaga amekimbia biashara. Kufunga duka na kuacha biashara ni vitu viwili tofauti kabisa. Chunguza vizuri huyo aliyefunga duka kwa sasa anafanya biashara gani. Hapo ndio utajua akili ya mchaga ilivyo kubwa na miles kadhaa mbele. Endelea kujifariji...
  12. L

    Matofali 10 ya ndoa bora

    Pole sana. Mke mwema anatoka kwa Mungu. Ampatae mke apata kitu chema. Kama uliyempata ni kimbunga inamaana huyo sio wa kwako na huenda ulimpata pasipo kumwomba Mungu akupe. Mpelekee huu uzi asome anaweza kubadilika na ukampenda, kama unaye mke na sio girlfriend
  13. L

    Hivi hawa wanawake wa kilokole(wafia dini) wana matatizo gani?

    Sasa wewe...inakuwaje unawaita kuwa ni walokole ilihali umeshuhudia wakifanya yasyostahili kufanywa na Walokole? Aliyeokoka na kumaanisha huwezi kumkuta kwenye tabia hizo. Hao sio walokole kama unachosema unaushahidi nacho. Kuokoka ni maisha mapya ndani ya Kristo Yesu, na ni pamoja na kuwa na...
Back
Top Bottom