Recent content by lea

  1. lea

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya aina za tiles na picha zake kwa ajili ya nyumba ya kuishi na familia

    Habari! Naomba ushauri juu ya aina ya tiles, zakuweka kwenye nyumba ya kuishi familia! Aina za tiles za kuweka sebuleni,dining ,vyumbani,jikoni na barazani.Budget ni ya mtanzania wa kawaida kabisa. Asanteni
  2. lea

    JamiiForums Tanzania JB: Wasomi wa Tanzania ni vilaza, afadhali ya sisi wasanii tusiosoma

    Asilaumu wasomi alaumu serikali yake. ...serikali haijali mifumo ya elimu tatizo ndio linapoanzia
  3. lea

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Meya Jerry Silaa anunua gari la ndoto yake

    Labda third user
  4. lea

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni umri gani unaofaa kuoa au kuolewa?

    Life is unpredictable we have to live with dreams and expectations.... Kila mtu na jinsi Mungu alivyo mpangia ...kuna couple moja naijua wameoana wote above 40 good thing ni kwamba mwanamke hakuwahi kuzaa she looks young and beautiful cha msingi ni kukubaliana na hali uliyokuwa nayo....mwanaume...
  5. lea

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wenye vitambi wanaboa

    Vingine vya asili jamani tangu mtoto kitambi kipo Leo hii nakitoaje......as far am comfortable with my body that's your own problem
  6. lea

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi wanapenda kuvaa viatu vya wazi?

    Kucha ya kubandika ,wengi hatuna usafiri so tunaamuaga kutoka simple zaidi
  7. lea

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeachwa na mpenzi wangu

    Atarudi tu
  8. lea

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake punguzeni ubabe

    Mapito tu hayo maisha yatasonga tu
  9. lea

    JamiiForums Tanzania Eti mdomo wangu unanuka kama bomba la choo

    Pigs mswaki asubuhi na kabla ya kulala jitahidi kupiga mswaki kila baada ya kumaliza kula ..Kama unahisi Una mabaki kwenye meno toa kwa kutumia stick na Mara moja moja chukua Uzi upitishe katikati ya meno itakusaidia kuondoa uchafu katikati ya meno ...kwa kuanzia nena hospital kamuone dk wa meno..
  10. lea

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtu kunywa milenda siyo ufara ila nikupenda

    Kipya kinyemi ingawa kidonda
  11. lea

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake acheni kelele zisizo na ulazima wowote

    Mmh wanaume mshaurini mwenzenu ...best kelele zikizidi muwekee kidole mdomoni anyonye
  12. lea

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ningejua nisingeoa maishani mwangu

    Yeye anasema hivyo na Bado yupo na mkewe na ukute ndio Starehe yake akiona wamegombana wakukumbukana penzi linanogaje wewe Fanya yako kila mtu Ana maisha yake
  13. lea

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maskini mke wangu kumbe ulitoa mimba? Kwanini sasa hukunambia nifanye maamuzi?

    Wewe kwani ni mwema Sana tunajifunza kutokana na makosa Ametulia sasa unataka nini
  14. lea

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzoefu unahitajika kwa wanawake

    Ni maamuzi tu akiamua kutulia anatulia tu ila ndio mzuri anauzoefu wa kutosha so uta enjoy Kazi utakuwa nayo kumgegeda vzr ili atulie
Back
Top Bottom