Mafikizolo
JF-Expert Member
- May 8, 2014
- 3,487
- 1,626
Siumemwambia atumie KONDOMU?
Na mimi kimsisitizo zaid-DUME na sio-LAMBEGU
Na mimi kimsisitizo zaid-DUME na sio-LAMBEGU
la mbegu au?
la mbegu au?
Siumemwambia atumie KONDOMU?
Na mimi kimsisitizo zaid-DUME na sio-LAMBEGU
Ha haha mwanume wa kweli
pole sana mkuu, haya mapenzi dah we acha tu. Hata mm nilikuwa n mpenzi nilimpenda sana nikiamini nitakuja muoa siku
moja, akaja kunisaliti bila ya mm kutegemea. Niliumia sana, but maisha yanaendelea, piga moyo konde.
kama amekuacha kiroho safi ww endelea na maisha yako, ni vyema ameamua kukuacha kuliko angekusaliti, ingekuumiza
sana.
pole mkuu
Aaaaah........sasa usituchoshe........hii thread ya ngapi unafungua kuwa umeachwa........wewe sio wa kwanza bana.........
Hakuna mapenzi ya udogoni mlikuwa mnapita stage ya ukuwaji tu. kama wewe ni Me tafuta pesa tu ndio jambo la muhinu mengine yatajiseti yenyewe mbele kwa mbele.
Mapenzi ukipenda sana ukajisahau siku ukibadilikiwa inauma sana, tena ukitegemea huyo ndio utakuwa naye baadae akikuacha unahisi umepoteza kila kitu yaani kama huna thamani tena,
I Wish she Could Stay but She Choose to left me, I Feel Empty Inside . I Will Always Love Her
pole mkuu... kumsahau inakubidi utafute mwengine wa kukujali na kukupendaNimeachwa na mpenzi wangu niliyempenda toka tukiwa wadogo naumia sana.
Akikuacha na wewe muache........