Recent content by Le mom d

  1. L

    JamiiForums Tanzania Ijue Afya yako kupitia aina ya kinyesi unachokitoa

    usipoenda haja, utakuwa hujakamilika!!
  2. L

    JamiiForums Tanzania Swali lolote kuhusu mambo ya upande wa pili (kiroho)

    1.Unaota unasafiri lakini haufiki!!! 2.Kwa nini wachawi Wana Roho ngumu kufa(hawafi mapema?) 3.Unatembea njiani unahisi kama vile kuna mtu anatembea nyuma yako ila ukigeukaa humwoni?
  3. L

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Nimechoshwa na vifurushi vyenu vya bei ghali!!! Bundle zenu zinawahi kuisha hata kabla ya muda hata kama matumizi ni kidogo!!! Mimi nahama mazima!!!
  4. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyoongea na viumbe wa ajabu

    Nasubiri mwendelezo wa hadithi hii taaaamu!!!
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ijue Afya yako kupitia aina ya kinyesi unachokitoa

    Ahsante kwa somo zuri 👆, namba 1&2 inanisumbua sana!!
  6. L

    JamiiForums Tanzania Utambulisho

    Shukrani kwa kuniunga kwenye hili kundi
  7. L

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe mboga zetu za asili: Naanza mimi na wewe taja za kwenu.

    Spinach Majani ya mchauchau Majani ya maboga Mlaa Sukuma Chinese
  8. L

    JamiiForums Tanzania Sisi wapare tuna akili za darasani kuliko wachaga

    Kwa utafiti ulioufanya sijui kama ulipata majibu sahihi, maana wachaga nao Wana akili mno!!! Na hata kama hajasoma Wana akili ya utafutaji tofauti na wapare ni wazito kujiahughulisha!!!
  9. L

    JamiiForums Tanzania Njoo tutabiri mambo/matukio yatakayotukia mwaka huu 2021

    Mwaka wa kufanikiwa kwa kila Jambo unalolifanya!!!
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kauli gani ya Mwalimu ilikua inakukera!!?

    Nyie vinuka mikojo njooni hapa😩
  11. L

    JamiiForums Tanzania Siku gani ulikuwa unaipenda kuliko zote ulipokuwa shuleni?

    Leo mwalimu wa hisabati hatofika, kwa hiyo mjisomee🤔
  12. L

    JamiiForums Tanzania Aunt Ezekiel anamaanisha nini kuonesha hii alama?

    Mmmmmmmh!!! Wakati mwingine unaweza kufanya ishara fulani pasipo kujua maana yake halisi, sasa sijui kama muhusika anaelewa maana yake au ni pozi la kwenye picha!!!
  13. L

    JamiiForums Tanzania Baba matatani kwa kumfinya akitumia praizi mtoto kisa hajui kusoma wala kuandika

    mmmmmh!!! Badala ya mtoto kupenda elimu, ataiona ni mzigo kwake!!!
Back
Top Bottom