Recent content by le bon

  1. le bon

    JamiiForums Tanzania Msaada: Aura mall inapatikana wapi?

    Tumia google map itakupeleka
  2. le bon

    JamiiForums Tanzania Cheka kidogo na simu ya Utopolo

    Ndiyo nini?
  3. le bon

    JamiiForums Tanzania TRA yampiga faini ya 3,500,000 dereva kisa kapakia tenga 27 za nyanya

    Sasa hapo dereva ana biashara gani mpaka awe na mashine ya EFD? Kubeba hizo tenga alijiongeza tu kupunguza maumivu ya safari na ndiyo maisha yao madereva kwa mizigo midogomidogo kama hiyo akipakia anapata chochote
  4. le bon

    JamiiForums Tanzania Wakati mwingine Dunia ina maajabu mengi

    Breakdown wanasubiri ajali, ili maisha yasonge
  5. le bon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kadogo, kazuri katamu Vs mtafutaji, mcha Mungu na mzembe wa kwichikwichi

    Mkuu hilo la kumegewa ondoa kwenye akili yako, mwanamke akitaka kumegwa anamegwa tu, wala sio uchumi wako ndiyo unasababisha mwanamke asimegwa
  6. le bon

    JamiiForums Tanzania Kufuatilia loss report polisi ni pasua kichwa. Jeshi la Polisi tunaomba mliangalie hili na mlifanyie kazi

    Mkuu hebu toa maelekezo vizuri, hiyo lost report unaipataje online, maana usumbufu wake kuipata lost report polisi ni kubwa, inabidi shughuli zako zote zife za siku hiyo kwa ajili ya kushughulikia lost report. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. le bon

    JamiiForums Tanzania Hii Sio Sawa

    Kumamoto City
  8. le bon

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenye asili ya bara la Asia tujuane hapa!

    Hivi mechi ya Simba na Yanga ni lini?
  9. le bon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shilingi imegeuka, sasa wadada wananunua penzi

    Ndiyo maana, sasa nimeelewa!!!!
  10. le bon

    JamiiForums Tanzania Marekani: Kaka na Dada wameshinda shauri la mahakama kuhusu kufunga ndoa

    mitindo kwa sister
  11. le bon

    JamiiForums Tanzania Wazee wa baraza wasema 'Lulu' ameua bila kukusudia, Jaji kutoa hukumu Novemba 13

    Uwe mwepesi wa kuelewa na kutofautisha kati ya mauaji na mauaji ya bila kukusudia, Lulu kesi ya yake ni mauaji ya bila kukusudia ambayo inawezekana hata kuachiwa huru au kufungwa
  12. le bon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natamani kuolewa

    Wanawake badilikeni hakuna uhusiano kati ya elimu na ndoa cha msingi ni mtu anayejielewa na kuelewa nini maana ya mke hayo mambo mengine ni ziada, unaweza kumpata huyo mwenye degree unayemtaka na asijue maana ya mke
  13. le bon

    JamiiForums Tanzania Chomboanga cha International Space Station (ISS) kuonekana leo katika anga ya Tanzania saa moja jioni

    Umechelewa kimeishapita, ilikuwa mida ya saa 1.17 usiku
  14. le bon

    JamiiForums Tanzania Chomboanga cha International Space Station (ISS) kuonekana leo katika anga ya Tanzania saa moja jioni

    Ok nimeiona ila inaonekana ina speed kubwa kuliko satelate nyingine
  15. le bon

    JamiiForums Tanzania Dv-lottery 2019 Greencard

    Mkuu unataka kuwakimbia watu wasiojulikana?
Back
Top Bottom