interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,396
Hakuna kizazi kilichofanya maasi kama hiki, si cha Nuhu wala Sodoma na Ghomora.
unaweza udini tuNchi ya wakristo hio
Mawingu yatadondokaDu baada ya moto wa Sodoma na Gomorrah ikaja gharika ya mvua enzi za Nuhu.
Sijui Sir God atatutumia nini this time.
Kwani haukusikia ya Zimbabwe single mother kuoana na mwanae, mama alidai alimpenda sana mwanae na hakuwa tayari kuona mwanamke mwingine akimfaidi.Sio kidogo ila watu weupe hawa bado kdogo utaskia wataoa na mama zaoNmeshindwa kuelewa kabisa
Vipetrol Tanker akivizidisha tutarudi kwenye mstari.Sijui Sir God atatutumia nini this time
Akivua lazima usimamishe, aibu ikizidi unaiona Konyagi ndogo, lazima aliwe.
Mimi mwenyewe nashangaa kwa nini watu wanashangaa!!Ila mbona ata hapa bongo watua wanawala dada zao
Ataleta yale madudu tunaonaga kwenye movie yaje yatunyuke hadi tuishe na tushime adabuDu baada ya moto wa Sodoma na Gomorrah ikaja gharika ya mvua enzi za Nuhu.
Sijui Sir God atatutumia nini this time.
True.... Kuna familia ipo pale Moshi ipo hivyo hivyo......Ila ukweli ni kuwa familia nyingi hata hapa kwetu bongo ambazo wazazi wapo busy sana! kaka na dada huwa katika mausiano wakiwa wadogo na wengine bila aibu huendelea hata ukubwani kwa siri!
Ndiyo mana huwa nashangaa sana mzazi anaye wanchanganya watoto wenye zaidi ya miaka saba wa jinsia tofauti chumba kimoja et double deca!
Kabisa ni watu wachache sana wanajua impact ya hawa liberals........Liberals wameifikisha hii dunia pabaya sana.
Hii ni torati au walawi....Kumubukumbu la Torati 27:22 linasema,Na alaaniwe alalaye na umbu lake, au binti ya babaye au binti ya mamaye,Na watu wote waseme,Amen....