Watanzania wenye asili ya bara la Asia tujuane hapa!

Wyatt Mathewson

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2017
Messages
5,990
Points
2,000
Wyatt Mathewson

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2017
5,990 2,000
Mm n mwarabu wa DABAGA mama Mhehe baba msomaliii karibu
Wasomali ndio mnadai sio Waafrika?

You guys are so conflicted!

Arabs wanawakana,na nyie mnakana Uafrika!

Nilienda forum ya Somaliland nikacheka sana!
 
smigo4u

smigo4u

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2015
Messages
2,356
Points
2,000
smigo4u

smigo4u

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2015
2,356 2,000
Babu yangu ni mwarabu kabila la kahlani(anaishi oman now) na bibi ni mwarabu wa zanzibar. walikutania zazibar ,baba yangu ni mwarabu ila mama yangu ni chotara wa kiarabu mimi binafsi ni mtanzania .
 
B

bestmale

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Messages
2,832
Points
2,000
B

bestmale

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2015
2,832 2,000
Alikuja Kwa biashara ya kuudha watu sio ? Rudi kwenu
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
30,158
Points
2,000
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
30,158 2,000
Ngoja tuone...Cc: mahondaw
 
T

TheSpam

Member
Joined
Aug 15, 2019
Messages
6
Points
45
T

TheSpam

Member
Joined Aug 15, 2019
6 45
mimi ni mix ya mfilipino na mchaga wa kishumundu...vipi maana naona mnadhani asia ni ya waarabu tu! kwanza watu wa jangwani hao
 
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
21,936
Points
2,000
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
21,936 2,000
Mkuu... mimi ni mwarabu, bahati mbaya nilisahaulika huku Ushirombo..
 

Forum statistics

Threads 1,326,681
Members 509,566
Posts 32,230,849
Top